Recent content by katumbili

  1. K

    CAG Ludovick Utoh, wapi ukaguzi wa CCM?

    Wewe ndio msukule kabisa, nadhani utakuwa umebakiwa na kumbukumbu ya kukupeleka chooni tu wakati wa haja kubwa. Umeonyesha ukame mkubwa sana wa maarifa kichwani mwako, kwahiyo waandishi wa habari ndio mliwaitia hicho? Kuwa ccm haijakaguliwa? Ila pamoja na kwamba kumbukumbu zako saiv zinakata...
  2. K

    CAG Ludovick Utoh, wapi ukaguzi wa CCM?

    Kufikia kikomo ni kurejesha fedha za umma mlizogawana hapo ufipa. Tofauti na hapo jasho litawatoka haijarishi ni wakati wa baridi
  3. K

    CAG Ludovick Utoh, wapi ukaguzi wa CCM?

    Mnahaha kuzuia maporomoko kwa vidole, mwaka huu mtaenda na kulima misukule nyie. Mmekamatika ripoti hiyo imewavua nguo na wizi wenu subirini tar 28 october, mtaninyea kabisa. Rudi vunjo ukalime maua unakomaa ufipa mwanaume mzima kusifia wanaume wenzio, kweli wewe msukule unaotembea
  4. K

    IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

    Hahahahahaa...umenipigia nyani mkuu! Leo eti wahisani wanaonekana wakombozi wa maisha yetu. Siasa uchwara hizi zinaua uchumi wa ndani
  5. K

    IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

    Sisi wenyewe huku kigoma tunaomba sana kampuni ya Iptl waendelee kusonga mbele ktk mchakato wao wa kupunnguza bei ya umeme
  6. K

    Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    Hawa watu sijui huwa wanatokea wapi? Mimi huwa siamini ktk karne hii kama kuna watu mazuzu wenye fikra kama za huyo jamaa, wanakaririshwa kutamka takwimu tu na wanasiasa uchwara kama kafulila, naye anakuja hapa na povu bila kuchuja. Waelewa tunamuona kama kachanganyikiwa
  7. K

    IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

    Nashukuru kujiweka wazi kuwa unaupeo mfupi sana juu ya kushindana kwa hoja, na nimekuelewa sasa kwamba wewe pengine muda si mrefu hata akili uliyokuwa umebakiza za kukumbusha wakati wa haja kubwa na kwenda chooni mwenyewe zitakata. Wahi kwa wataalam wa akili
  8. K

    IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

    Mkuu! Huyo jamaa ni zaidi ya msukule, achana naye tuendelea kuelimishana na watu wanaopenda kujifunza kama sisi. Ambao hapo awali tulikuwa nawasiwasi na nia yake ya kupunguza bei ya umeme, lakini baada ya kupata maelezo mazuri na kuijua vizuri nia yake kampuni ya Iptl sasa nasema hivi...
  9. K

    Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    Siku hizi kapata na mchumba Kafulila! Anatanua naye kwa fedha chafu alizohongwa na mafisadi kuiponda Iptl
  10. K

    Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    Huyo ni wakuhurumiwa tu, hajielewi kabisa mkuu. Na akiendelea na uzembe wake wakutojishughulisha ili ajenge nyumba yenye uzio, anafikiri kila mtu humu ni mshinda vijiweni kama yeye
  11. K

    Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    Kwahiyo wewe kushindwa kujenga nyumba nzuri kwa uzembe wako, nawengine wasijenge kwa juhudi zao? Ficha umbulula wako. Na usirudie kuja na mihemko yako ya kidarasa la kwanza hapa
  12. K

    IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

    Umeonaee! Jamaa kajitahidi kusema ukweli. Iptl inaweza kuwa na dharma nzuri lakini baadhi ya watumishi wa serikali wasiokuwa waaminifu wakachelewesha mchakato huo wa kushusha umeme. Ila Iptl ni wakupongezwa kwa hatua nzuri walofikia
  13. K

    IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

    Lakini sisi tutajitahidi kuwaelimisha tu, maana pengine siyokosa yao ni makosa ya uwezo wao mdogo wa kufiri na kujadili kwa hoja. Lakini Iptl ni suluhisho la matatizo ya watanzania waliowengi
Back
Top Bottom