Mimi naona wanafanya hivo kutengeneza mazingira ya rushwa. Ukiingia kwenye tovuti yao nako vituko tu, yaani wanaweka nambari ya mawasiliano isiofanya kazi. Serekali inapoteza kodi nyingi kwenye huduma ya umeme hata sioni sababu ya kuzuia ushindani na makampuni mengine.
Hata Kenyan Power Limited (KPL) nao walikuwa wasumbufu kama TENESCO. Wakenya wengi walijiongeza kutumia masolar panels, KPL walipoona wateja wengi wanahamia kwenye masolar ndo wakaanza kuboresha huduma zao mpaka Leo. Ila shida ya watanzania wengi sijui wanakwama wapi kutumia njia mbadala mbona...
Swala hapa sio kuwa na pesa au la. Je wananchi wako tayari kujifunga kibwebwe katika kufanikisha malengo ya serikali ambayo itawasaidia wao (wananchi). Serikali inatafuta fedha kukamilisha miradi itakayosaidia kukuza uchumi ila wananchi wanaanza kuangalia gharama bila kuangalia faida ya hiyo...
Tatizo lenu mnataka kujenga kitu kizuri huku hamtaki kugharamika. Utekelezaji wa projects unavozidi kucheleweshwa ndo nchi inazidi kupata hasara. Hapa ndo tutajua nani mzalendo na nani sio. Damu za wazalendo zilimwagika kwa ajili ya maslahi ya taifa seuze kutoa mali kwa ajili ya maendeleo ya...
Hebu lipeni kodi kwa kutanguliza maslahi ya taifa kwanza. Mbona hela ya kuhonga hamkosi. Hao maskini ndo wanaongoza kuchezea hela kwenye mambo ya starehe.
Hivi wasomali wamekukosea nini? Hujui kuwa wasomali nao ni raia wa Tanzania ama umeamua kujitoa ufahamu. Kinaya kweli kweli,yaani unapigania haki huku ukiendeleza ubaguzi. Hakuna namna mama aendelee kuwaminya tu mpaka mtokwe na mavi. Wahafidhina nyie!!!
Hongera mleta mada. Usikatishwe tamaa na wapinzani. Halafu hawa wanaokuponda wanajisahaulisha kuwa hata hiyo kozi uliosomea imebesi sana kwenye theory badala ya practical.
Hahahaha! Hayo madawa unayosifia yote yametokana na mimea. Huwezi kuwa mbunifu kwa kukopi kopi.
Hakuna anayejionyesha kwenye suala la kupambana na Uviko-19. Kenya chanjo zimefika kitambo lakini bado maambukizi yako pale pale, sasa hapa kinachoendelea ni biashara tu.
Mkuu naomba unijibu. Tanzania kujitengenezea dawa yake shida iko wapi? Mbona India imejitengenezea chanjo hujalalamika?
Mpaka lini tutaacha kutegemea nchi zingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.