Recent content by katto mushumba

  1. K

    Leo ndo nimeamini cLouds tv ni ya chama

    Clouds Channel ten Tbccm,Star tv hizo zote CCM TU hakuna kubalance story,hata ITV imeanza kubadirika taratibu imebaki Azam two,nina wasiwasi ikifika wakati wa campaign huenda habari za UKAWA tusipate na bahati mbaya UKAWA haina tv yake
  2. K

    Sikiliza Radio Tanzania sasa: Padre anaipigia kampeni CCM

    Hii radio bado ipo? Hata hivyo huyo padri courage kaipata wapi wakati ndo wao wahusika wakubwa wa ESCROW-maaskofu wawili,mapadre,bank ya kanisa,anatetea mfumo ,tamko lilishatolewa awali,no katiba mpya ya mafisadi CCM, no kuchagua chama cha mafisadi CCM,ni tamko la maaskofu,lile...
  3. K

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Mnatafuta nini huko TBC? Mambo yote ITV,AZAM,BBC ,ALJEEZIRA CNN basi
  4. K

    Ukimya wa Professor Safari unamaanisha nini?

    Hivi ukiwa CCM unakuwa tahaira au? Prof. Safari hatakuwaje mgombea mwenza wa Dr. Slaa wakati yeye ni mtanganyika wa Tanga na Dr ni wa Arusha? Someni acha umbumbumbu hata kama CCM mtaji wenu ni ujinga
  5. K

    Tamko la Mbatia lisipuuzwe na Serikali hata kidogo

    Watu wanasahau marehemu alikuwa mwana siasa ndo maana kukafurika wanasiasa na hata kufunikwa na bendera ya "siasa". Wale watu walimfata mwenyewe na hakuna mantiki kuwazuia kumzika mwanasiasa mwenzao,mbona m as rehemu jeneza linafunikwa na bendera za vyama/taifa,je hiyo sio siasa? Anyway,tukio la...
  6. K

    Maandamano hayaepukiki kipindi hiki

    Tatizo sio maandamano,shida ni kwamba Lowasa kamfunika Magufuri,ili kukwepa aibu bora yasiwepo kwa wote na hii imelenga kuzuia Lowasa asiendelee kutajwa kila siku kwani hali ilivyo kila mtu mjini hadi vijijini wanataka kumwona na kumwongelea Lowasa,Makufuri katoweka kabisaa,ni mbinu za kuibeba...
  7. K

    Star TV mnajidharirisha sana kwa mwendo huu....

    Kwa nini mnapoteza mda wenu na Tv ya Diallo? ITV,AZAM TV zinawasubiri, Star n Tbccm ni za magambatu na ndo huwa wanaangalia
  8. K

    MV Dar es Salaam kufa kabla ya kuanza kazi?

    Picha umepiga la kisigino,kimyaaaa
  9. K

    Askari shupavu akifa, mapambano hayakomi

    Well said Mr Mtatiro
  10. K

    Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    Benson Bana ni majanga,kkama tapeli fulani wa siasa kutoka bk,aibu kwa nshomile wote,niwe mkweli,nikisikia anahojiwa mara moja na tune pengine ili kuogopa kuwa morally corrupted
  11. K

    Lowassa, Mbowe siri nzito hadi kubadili mgombea mwadilifu aliyependekezwa CHADEMA

    WaTanzania mbona bado mpo usingizini,kuanza kampeni kabla ya muda hiyo ni mambo ya ndani ya CCM. TUME YA UCHAGUZI HAIHUSIKI NA TARATIBU ZA NDANI YA CHAMA. Mara tu ikishathibitisha wagombea wa vyama hapo ndo sheria na kanuni kuhusu kampeni kwa mujibu ws sheria ya uvhaguzi na kanuni zake zinaanza...
  12. K

    Jussa na uwezekano wa kuwa Rais Tanzania?...

    Kwanza katiba imewapiga chenga,ni muda gani uchaguzi unafanyika akifa na muda gani anamslizia muda wake! Pili Yule mama mzanzibara ana sifa za kuwa raisi na amiri jeshi mkuu? Tatu tunasema ni uchuro kwa aliyesema Lowasa ni mgonjwa hivyo atakufa karibuni, kufa ni siri yupo wapi Komba aliyesema...
  13. K

    Jussa na uwezekano wa kuwa Rais Tanzania?...

    Kufa ni siri ya mungu acheni uchuro,nadhani issue ya Marehemu Komba na Warioba ingekuwa funzo kwetu!
  14. K

    Hongera UKAWA mmesukuma kete vizuri hadi sasa, lakini Poleni kwa kuwa mmesahau hii kete muhimu...

    Ns sheria iko wazi tume ikishatangaza matokeo hayawezi kuhojiwa mahakamani,hilo ndo goli la mkono wa Mh. LUBUVA,UKAWA MPO?
Back
Top Bottom