Recent content by kats5

  1. kats5

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata review ya perfomance ya pikipiki ya sinoray cc180-18

    Ni kweli, ni wale wale.
  2. kats5

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata review ya perfomance ya pikipiki ya sinoray cc180-18

    Nashkuru sana mkuu, Hata hvo kwa bahat nzuri sikununua
  3. kats5

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    Kware na mayai yake wanauzwa bei kubwa sana ukilinganisha na kuku, kwahyo nayo pia ni fursa
  4. kats5

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata review ya perfomance ya pikipiki ya sinoray cc180-18

    Wameusahau bhn uzi huu,
  5. kats5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mtu akifanya hivi anakuwa anakupenda?

    😆😆😆😆
  6. kats5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

    Bro, yaana iko hiv, utamuacha mkeo aliye kupeleka rumande akafuta kesi kesho yake, alaf ukamchukua ambaye ukimpiga mikanda wala hatakuja kukutizama ukiozea jela, huyo kwa kitendo cha kufuta kesi ndani ya masaa 24, anakupenda sana , ila kama unavojua wanawake, shida mashost, lakin pia woote...
  7. kats5

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata review ya perfomance ya pikipiki ya sinoray cc180-18

    Habari za leo wakuu, hongereni na majukumu, Kama kichwa cha habari kinavoeleza, kwa mzoefu tafadhali, naomba kupata kujua zaidi pikipiki ya. 1. Sinoray cc 180-18 (PUSHROD) na 2. Sinoray cc 180-18(TIMING CHAIN). Katika vigezo vifuatavyo, 1. Ubora na uimara 2. Re- sale value na kadhalika...
  8. kats5

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

    Mbona kawaida sana, mimi nilisafiri toka mafinga hadi masasi kwa haojue escort 150cc, nili enjoy sana,
Back
Top Bottom