Recent content by Katriel

  1. Katriel

    PostGE2025 Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond, mtu muhimu; aliyewainua Harmonize na Rayvanny?

    Hela za kampeni zimeisha naona wanataka hela zetu Sasa, hata aibu hawana
  2. Katriel

    Account za Mange Kimambi na Wananchi Forum zote zimefutwa Instagram. Inafurahia mauaji ama kweli mnyonge Hana haki duniani

    Yani ukitafakari unakosa majibu, hivi ni kweli kabisa Kuna watu hawaoni nini kinaendelea, hawaumii? Hawaoni kama ni tatizo?
  3. Katriel

    Amenichamba kimatumbi! Who are me?

    Samuya sio tu zero brain pia ni katili ana roho mbaya sana, anataka kushindana na wananchi
  4. Katriel

    PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    Hili ni pepo ndugu zangu sio mtu huyu, yeye na wanaomshabikia damu za ndugu Zetu na ziwe juu yao milele.. shemeji yangu ameuliwa alikua ndani af anaongea nini samuya.. rubbish
  5. Katriel

    Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

    Sio binadamu wa kawaida huyu mama, unadhani
  6. Katriel

    Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

    Samuya ni anatia hasira balaa, Huyu sio mtu wa kawaida jamani
  7. Katriel

    Unamwamini Mwigulu kwamba eti magari ya Serikali 979 yalichomwa wakati wa maandamano?

    Hiyo serikali ni waongo jamani, wametufanya wote kama mazamwamwa sijui..
  8. Katriel

    PostGE2025 Rais Samia: Tumeambiwa vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa fedha kwanza

    Tume huru na inapangiwa Cha kufanya? Inapewa na hints???
  9. Katriel

    PostGE2025 Kihongosi: Kila Mtanzania ailinde amani ya nchi, wapo watu wanaendesha oparesheni mitandaoni ya kuivunja na kuichoma nchi yao

    Ukweli ni kwamba hatuna amani, ni vile tuna force Ili maisha yaende kazi zifanyike tusije kufa njaa, ila amani hakuna.. sijui Sasa mnataka tulinde amani ipi nyie watu...
  10. Katriel

    PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

    Ila wale waliokua wanaua watu hadi nyumbani hawajakamatwa sio, em tuacheni kidogo basi...
  11. Katriel

    PostGE2025 Video nyingi za kutisha zitazidi kuwekwa wazi

    Eti anaita wanangu vijana, bila hata aibu... Yani wauaji wote wasipate utulivu milele, hizo damu zisiwape utulivu milele..
  12. Katriel

    PostGE2025 Wizara ya Afya imefuta post ya kukanusha video ya Mwananyamala

    Serikali yao yooote imejaa damu, walivyo mafala wanafurahia tu, hivi ni madaraka tu au Kuna kitu kingine jamani, kama ni hela ndio hizi hizi ukifa unaziacha ndio umwage Damu nyingi hivi..
  13. Katriel

    PostGE2025 Wizara ya Afya imefuta post ya kukanusha video ya Mwananyamala

    Kila kitu kazi yao kukanusha then mwisho wa siku wanaumbuka, watu kibao wanaona ndugu zao hapo, wengi wameona ndugu zao, yani hasira hasira daah
Back
Top Bottom