wala sijawai kuangaika na simu yake mpka nilipohisi jambo na nimesadiki nililolihisi ni sahihi kosa langu ni lipi nikama mtu unaehisi unafuatiliwa na wezi kisha ukawatiming na kujiepusha nao au unafikili huwa nilikua nikifuatilia mawasiliano yake kabla niliyafuatilia pale tu nilipokua na mashaka...
nimeonba ushauri ila tayari nimeshawapa taarifa ndugu wangu wa karibu hapa imebaki mzee tu nae nimeambiwa nitumie hekima kwani ni mkorofi mno japo anaupole ndani yake ila mimi akili yangu ishaniambia mipige chini
nimerogwa Mungu ndie amenirinda na huo mrogo sababu jambo lolote baya utalifanyiwa kimazingara Mungu asipopenda likukute halitakukuta kamwe.
shida ni kwamba nimeona anarudia kwa mara ya pili nimehisi nikakagua simu yake na nikakuta nachokuhisi ni sahihi
mimi familia niloingia inaamini uganga kupitiliza na kujificha kwenye dini ni hatari kwakweli niliwai juta kwanini nimeoa kwasababu nilifikili nitae muoa anashida ila ajabu nilie muoa anapelekeshwa na wazazi wake na kusahau kuna familia yake.
sina muda wa kupanbana nae ninacho jiuliza je itakuaje pale atakapofanikiwa yale anayoyataka maana ulozi upo. je kuna maendeleo ua mwanamke kua juu kwa kila kitu maana lengo lake hata mshahara wangu nikipokea nimpe yeye ajabu sasa ni sina choyo kwake vitu vizuri anapata zawadi anapata na kil...
mimi na lala vizuri sana boss wangu nausingzi napata fresh kaabisa ila ni kitu kinaniumiza sana. sababu niliamua kuoa ili nitulie maana nilikua kiwembe sana na nilitafuta mwanamke wakunifaa kwa tabia kumbe nikasahau kua na kabila mtu anaweza kua na dini ila kabila likashikilia ulozi tuu full
sana ndugu yangu kwani mwanamke kama anaakili hizi za kuamini uchawi uchawi hata kufanya jambo la maana hataweza mwisho wasiku anakua mwanga kweli na pia nawatoto nae najiuliza huyo mtoto akikua nae atakua mlozi sababu kwa asilimia kubwa watoto zetu wanakaa na mama zao
inaweza kua kweli ila naimani jambo lologe kama mungu ajapanga likufike aliwezi kukufika najua yeye afahamu kama najua ananiroga ila nitamchana makazvu soon yani naeza anza nawazee wake nikamalizia kwake kwani wakati namuoa aliniroga alafu sasa kinachoniuma zaisi nimewekeza maendeleo sana wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.