Soma post yangu uwelewe siyo unakurupuka muhimu ni wanafunzi wapate elimu ya juu iwe kwa mkopo au bure asiwepo mtu anauwezo wakusoma harafu anakaa kijiweni kwa kukosa ada.sasa hivi tunaosoma vyuo vikuu 90%hatuna hata hiyo mnayoita mikopo wapo wengine wamefahuru vizuri form six wazazi wao hawana...
Hiyo nikudanganya watanzania unaposema hakunaga chuo kikuu bure ebu fanya utafiti katika hizo nchi mnazoziita za kibepari kama kuna kijana yeyote wenye uwezo wa kuendelea na elimu ya juu ameshindwa kutokana na umasikini wa mzazi wake kama ameachwa mtaani mf. marekani elimu bure kuanzia chekechea...
Masanduku uwa yako transparent siraisi kuweza kufanya usanii,wawe makini na themosi na hotpot wanazoletewa chakula wasimamizi huku arumeru tulikamata themos na hotpot zimejaa kura walitaka kumpiga bao Nassar!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.