Recent content by KATI 2

  1. K

    IGP kutoa zawadi ya Tsh milioni 10 kwa atakayetoa taarifa za wahalifu mkoa wa Pwani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini ametangaza zawadi nono ya tshs milion 10 kwa yeyote atakayetoa taarifa ya wahalifu wanaoendesha mauaji mkoa wa Pwani.
  2. K

    Tuchangamkie fursa hii

  3. K

    Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

    Hakuna Jambo lenye furaha Kama unafanya Jambo ambalo unalijua
  4. K

    Polisi

    Wadau naomba mnitajie Kama Polisi wana Twitter account
  5. K

    Polisi: Marufuku Waandishi na Wananchi kukusanyika Polisi watuhumiwa wakiitwa kuhojiwa

    kama una sababu za msingi unaruhusiwa kwenda polisi, nilivyoelewa ni kwamba kukusanyika bila sababu ya msingi nji marufuku. waandishi hawakusanyiki, waandishi wanafuata habari na kuondoka hivyo wanasababu ya msingi ya kwenda kituoni.
  6. K

    Jihadhari na utapeli wa kupatiwa ajira

    TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUIBUBUKA KWA MAKUNDI YA UTAPELI. Katika siku za hivi karibuni katika maeneo mbalimbali hapa nchini, kumejitokeza makundi ya watu ama mtu binafsi kutumia mwamvuri wa taasisi fulani kujipatia kipato kwa njia za udanganyifu (utapeli) kwa...
  7. K

    Polisi: Habari ya "Vyeti feki vyawaondoa askari kazini" ni ya Uzushi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIA 19 /12/2015...
  8. K

    Uhalifu kupungua kinondoni kwa 10% ifikapo 2019

    Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa kuboresha usalama wa jamii nchi nzima ambao unalenga kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa usalama ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa...
  9. K

    Waandamanaji kuteka barabara ya umma kwa nguvu ni sawa kijeshi?

    polisi wamesema wamesitisha maandamano ya vyama vyote including ccm. kwani hujui kusoma we horseshoe?
  10. K

    Wanasheria wa CHADEMA hamuwezi kuipinga amri ya Polisi mahakamani?

    Usalama kwanza siasa baadae
  11. K

    Wanasheria wa CHADEMA hamuwezi kuipinga amri ya Polisi mahakamani?

    Aiseeh siku ile ilikuwa balaa sana, maana kuanzia buguruni, llala, mpaka tunafika posta ni msafara tu ikatubidi kushuka katika daladala kuja mijini kwa miguu, kwa kweli mipango na mikakati ya siku ile ilivurugika kabisa ni kweli ni bora kama mgombea akutane na watu wake katika viwanja vikubwa...
Back
Top Bottom