Recent content by katerelo

  1. katerelo

    Habari ya kivuko kuzama ndo imeisha na kusahaulika hivo tunasubiria habari nyingine ya kubamba muda si mrefu

    Mo katekwa ndo habari ya mjini mda huuhuu, baada ya hiimambo sijui itakuwa ipi
  2. katerelo

    Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Nani kakwambia Africa rais anachaguliwa na RAIA hazikutoshi kabisa, Magufuli ni rais hadi 2025
  3. katerelo

    Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Ila we pasco uwa una akili sana, huwa haujibu kwa kukurupuka, najua we ni mfuasi wa lowassa lakin umeamua kutopelekwa na mihemko
  4. katerelo

    Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Hehehe nimecheka, kakamatwa lowassa sembuse lema
  5. katerelo

    Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Kawasahau wale wa kulipua mioto, na BARUTI na kushikiliia digger mogodin
  6. katerelo

    Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Haha mkuu hawaend kichwa kichwa hivyo kwanza ni kutambuana kunambia una sifa zipi, unataka position IPI, na Mimi nakwambia position tuliyonayo,
  7. katerelo

    Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Habari yako mkuu, mi nafanya kuunganisha watu wanaotaka kazi Nje, Gharama zangu siyo nyingi Kukutaftia nafasi na kukuweka ni 100 USD Kukutaftia visa na kwenda 300 USD Gharama za usafiri inategemea na unapoenda Alafu malipo yangu nu kuwa utakatwa 5% kwenye mshahara wako kwa miez mitatu...
  8. katerelo

    Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Mkuu uarabuni mimi nafanya kukuconect fee zetu so nyingi uko maana hata mishahara yao midogo
Back
Top Bottom