Recent content by Katemi Methsela

  1. Katemi Methsela

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    ALGERIA Vs TANZANIA 21:15 USIKU. ★BantuTv LIVESTREAMING★ Utaangalia mechi ya Marudiano Kufuzu fainali za kombe la dunia :Algeria vs Tanzania kupitia BantuTv LIVESTREAMING. Bofya hapa:--> Utaangalia mechi ya Marudiano Kufuzu fainali za kombe la dunia :Algeria vs Tanzania...
  2. Katemi Methsela

    CCM kufunga kampeni zake kisasa zaidi

    Leo Dkt J.P Magufuli ataonekana katika majukwaa yote ya CCM Tanzania. Kuna Screen kubwa sana zitafungwa kurusha mkutano wake Live.Tv Stations 5 na Radio 67 zitakuwa zikirusha matangazo ya kampeni za JPM moja kwa moja. Leo wapo alipokuwa JPM jana.Maarifa '0' Unakaa unafurahia Ujio wa...
  3. Katemi Methsela

  4. Katemi Methsela

    Rais wa Uruguay aruhusu uuzwaji wa Bangi kihalali: Madhara ya Bangi Vs Sigara

    Nadhani inatakiwa ukasome vizuru zaidi madhara ya bangi.Hao wazungu walioruhusu bangi kwao ndio hao hao walioruhusu hadi ushoga.
  5. Katemi Methsela

    Rais wa Uruguay aruhusu uuzwaji wa Bangi kihalali: Madhara ya Bangi Vs Sigara

    Rais wa Uruguay, Mr. Mujica karuhusu bangi kuwa biashara halali na kodi inakusanywa isipokuwa ni Pharmacy pekee ndio zimeruhusiwa. Jose Mujica ni rais masikini kuliko wote duniani: Mujica ni kiumbe wa aina yake duniani. Ndiye Rais pekee aliyempa lifti mpita njia. Ndiye Rais pekee anayelima...
  6. Katemi Methsela

    Polisi: Tumezuia maandamano ya CUF kutokana na silaha zilizoibiwa Ikwiriri Rufiji

    Jana nilipata wasaa wa kuangalia taarifa ya habari ya saa tano ITV imemuonyesha Mwenyekiti wa Chama Cha CUF,mchumi Prof. Ibrahim Lipumba akiwatangazia wafuasi wake kuacha kuandamana kisha kichapo kikaanza polisi akili zao ni finyu sana!! Wako waliodiriki kusema walikuwa wanalipiza kisasi cha...
Back
Top Bottom