Recent content by KAteme

  1. K

    JamiiForums Tanzania Chama tawala Malawi tunaogopa Njia hii wananchi wakiijua inaweza kuwafunua kupata mbinu ya kuzuia uchaguzi kirahisi

    Pole pole alisema kura zilishapigwa kitambo, HIGH NECK wanasubiri kutangaza tuu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole kumtumia Rais Museveni kama mfano ni mfu

    Nadhan hoja ilikua ni alienda kule kwa capacity ipi!?... Ni kweli General muhoozi ni in charge wa Jeshi la Uganda( very official) . Upande wa Nishati Abdul aliiwakilisha Tanganyika kwa Capacity ipi!?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Nadhan Mchango wa GSM na wanawe YANGA unatosha na chenji inabaki.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

    Hahaha..eti akafungue kesi..mahakama ipi!?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Nyerere alikua anashauri au alikua anakosoa maovu yaliyokuwa yanafanywa na serikali iliyokuwa inaongozwa na Chama chake...JK wa sasa analaumiwa kwa kutoa ushauri au kupendekeza masuala ambayo kwa macho ya walio wengi wanaona ushauri wake unavunja kanuni na katiba ya Chama Chake.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kitaalam, alichomaanisha Polepole ni hiki

    Pia anaweza kulipwa mishahara kwa Kipindi kirefu sana.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kitaalam, alichomaanisha Polepole ni hiki

    That's very possible, manake nakumbuka Kipindi Cha Magu alikua analalamika kwamba Serikali yake inawalipa mishahara Marehemu, sasa kama undava huo ulikua unafanyika kwa Serikali yenye vyombo vyote vya ulinzi including TISS sitashangaa kama raia wa Kawaida akiibiwa voting rights zake.
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC): Polepole hana uelewa na ufahamu kuhusu mfumo wa Uchaguzi

    Okay...sasa vipi kuhusu wale waajiriwa wa Serikali na taasisi zake ambao wengi wao wamejifunza IT wakiwa kazini na uperekwa tuu kozi fupi za kufundishwa jinsi ya kutumia mfumo unaotumika..unadhani wanaweza kuwa na utundu/creativity waliyonayo hawa vijana walio kua na laptops kama Toys?! na most...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC): Polepole hana uelewa na ufahamu kuhusu mfumo wa Uchaguzi

    Hivi ukiwa Hacked unaweza kujua!?...Ningependa wataalam wa IT watupe elimu kidogo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupigi kura kidigitali kwamba mtu akiwa na NIDA tayari kapiga kura, tunapiga kura kwenye boksi zinahesabiwa mbele ya mawakala

    Kuna mgombea mmoja amewahi kusema huko Tabora, kwamba ata wananchi wakiwapigia kura wapinzani, CCM lazima itashinda tuu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    Nape Nnauye...kumbuka goli la mkono na atakavyomsaidia Byabato?!
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    Mbona ata Nape Nnauye, mwenezi mstaafu wa CCM amewahi kusema hivyo mara kadhaa!...It is a known secret.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Technically anasema Mama sio Amiri Jeshi Mkuu... statement yake ukiisogeza pale Kisutu ni rahisi sana akaunganishwa na Lissu..but I guess wahusika hawaoni impact ya Statement yake hiyo.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki)

    Rostam ana huduma gani anaitoa Bure au kwa Bei nafuu Bila tozo (Vodacom) yoyote?!
Back
Top Bottom