Recent content by katalibata

  1. K

    Polepole are you proud of what is happening in Kinondoni?

    Hivi kweli kwa akili yako bado unaamini kwamba viongozi wetu wana dhamiri iliyo hai? maneno kama hayo uambiwa watu wanaotafakari na ambao hawajaua dhamiri zao.
  2. K

    Rais Kagame kufanya ziara nchini tarehe 14 Januari

    Unampamba kweli kweli, lakini sisi wenyeji wa Kyerwa tukijaribu kuvuka mpaka na kujipatia visamaki kwenye ziwa tunalogawana nao, tunapotelea kule!!!!!!
  3. K

    Serikali: Shule binafsi, marufuku kukaririsha darasa au kufukuza Mwanafunzi kwa kutofikia wastani wa shule

    sisi tulilosoma enzi zile za Primary schools na middle schools, kukariri darasa lilikuwa zoezi la kawaida na mtu aliyemaliza hadi kidato cha sita bila kukariri alikuwa bingwa. Haya sasa nyinyi wa dot com endeleeni na kujaza miaka badala ya maarifa.
  4. K

    Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

    Swali la msingi hapa siyo wabunge wa upinzani kurudi tena bungeni. Swali kuu ni iwapo tunahitaji kutumia hela nyingi kiasi hiki katika uchaguzi wa vyama vingi. Je tunahitaji vyama vingi kwa mazingira tuliyo nayo au ndiyo tunajifanyia sarakasi za kisiasa?
  5. K

    Wana-CCM mwenye nguvu okoeni Taifa

    Mtoa hoja alikuwa na hoja moja tu yenye nguvu: UHURU. Hata kama watu wote wanakula na kusaza, kama hakuna uhuru wa kufikiri na kusema unachofikiri, yote ni bure.
  6. K

    Rai kwa vyama vya upinzani Tanzania: Daini Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2020!

    HOJA SIYO TU KUSUSIA UCHAGUZI BALI TUWE NA CHAMA KIMOJA IJULIKANE WAZI. TUACHE HAYA MAZINGAOMBWE YA VYAMA VINGI AMBAVYO KIMSINGI HAVIPO.
  7. K

    Magazeti yatawaliwa na habari za kuingizwa mkenge kwa Serikali ya Tanzania

    Kiingreza kinaingia akilini mwako? Kuna sharti moja kalitaja Barrick nalo ni maridhio ya kamati huru YaAcaccia. Hao ndiyo watatoa baraka Hilo ni sharti lisipotimilika yote yanakuwa zero
  8. K

    Lissu kuwasha moto Nairobi, Joto lapanda kwa wahusika

    Kama ni kibaraka wa wazungu ndiyo maana kapigwa risasi? Akili yetu tumeazima kwa nani z? Pathetic.
  9. K

    Criticism or Veiled and Failed Attempts on Obstructionism?

    The end justifies the means? Do you know what you are talking about? Is that your moral principle ? You want to tell us that, since your end is to get rich, you have a right to steal because stealing is your means towards your end? Pathetic generation. I wish I was dead rather than read moral...
  10. K

    Miaka 18 bila Nyerere, Serikali haina kiwanda hata kimoja vyote viliuzwa. Je, hii ndo Tanzania ya viwanda?

    Tuombe radhi sisi wazee. Mwatex, Sungura Textiles, Urafiki, UFI, nk. Hivyo ni SIDO?
  11. K

    Peter Msigwa: Kazi ya kiongozi wa upinzani ni kuwachochea wananchi waione Serikali haifai

    Hivi Watanzania kwa nini tunaletewa mifumo tusiyoielewa na tunakubali kulipa gharama za uendeshaji wake? Siasa za vyama vingi ni siasa za ushindani. Ktk ushindani unatafuta sehemu dhaifu ya mpinzani wako unakomolea msumari. Ndiyo upinzani. Unachunguza anapokosea unamgonga. Kama hilo hatuliwezi...
  12. K

    Rais Magufuli hatanii, rasilimali zetu za taifa ziko salama mikononi mwake

    Naunga mkono hoja. Afadhari mali zetu zibaki kwa vizazi vijavyo kama sisi hatuwezi kuzivuna Bravo Msgu
  13. K

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Hi Hivi vijana wa siku hizi mnatumia kiungo gani cha mwili kufikiria? Unadhani umetoa hoja ya kuinusuru serikali? Tuliyemkabidhi usalama wetu na mali zetu ni serikali na wala siyo vyama vya siasa wala kikundi chochote cha jamii. Kwamba mtu kapata madhara na serikali haijatoa majibu...
Back
Top Bottom