Recent content by Katabei

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zaa kwa mahesabu, sio uzae watoto waje kufanywa Watumwa huku Duniani

    Hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Green card lottery ni Umanamba mamboleo

    Ungejaribu kutuelezea tabia ambazo zimefanya mpaka black Americans wamekuwa hivyo ningekuelewa lakini sio kila kitu kusingizia wazungu. Labda tu kwa asiyejua lakini sehemu wanazokaa mablack zinajulikana ni fujo, uhuni Sasa hapo mafanikio ya kufika mbali yatapatikana wapi. Wewe mwenyewe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Green card lottery ni Umanamba mamboleo

    Kama wewe ni ME Mungu hakuwa mjinga kukuwekea govi kwa nini ulilitoa au haujalitoa??.......watz wengi ipo shida kwenye ufikiriaji wetu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    Sasa kuna bunge la maana??
  5. K

    JamiiForums Tanzania Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

    Ndo akili zako zinavyokutuma ukipewa makavu laivu bila chenga......
  6. K

    JamiiForums Tanzania Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

    Wewe mshamba tu umeshindwa kwenye SikilizaTogo......sijui upumbavu gani
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza tenda ya ujenzi wa mwendokasi kutoka Maktaba ya Taifa Posta- Mwenge- Ubungo-Tegeta

    Mwanasiasa ndo mwenye akili kuliko watu wenye fani zao......yaani hapo wa kulaumiwa ni wanasiasa tena Wana CCM kwa upumbavu huu
  8. K

    JamiiForums Tanzania The Bus with Erick Omond

    Dah Erick anatisha....kazi nzuri sio kwa unyama huo
  9. K

    JamiiForums Tanzania USAF to Unveil B-21 Stealth Bomber in December.

    Mnyamwezi ni noma sana.......we unafikiri Iran hasingekuwa na vikwazo wangeshindana na USA kiteknolojia.... 1) Tuanze tu internert tunayotumia ni wao... 2) Social medias zote kubwa ni wao... Na mengineyo......
  10. K

    JamiiForums Tanzania USAF to Unveil B-21 Stealth Bomber in December.

    Hasa 'censor' zao zilishindwa tu kugundua F-35 pale Iran mpaka Israel -Marekani wakaingia kwenye anga la Iran na kutoka Kama kwao........
  11. K

    JamiiForums Tanzania USAF to Unveil B-21 Stealth Bomber in December.

    Nakubali sana mnyamwezi anatisha.....
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tutazikumbuka tozo, ni suala la muda

    Kwani kabla ya tozo ilikuaje???
  13. K

    JamiiForums Tanzania USAF to Unveil B-21 Stealth Bomber in December.

    Hiyo imetengenezwa na Boeing au Lockheed Martin.......
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tutazikumbuka tozo, ni suala la muda

    Kodi inalipwa direct na indirect sio lazima iwe direct ndo uione.....
Back
Top Bottom