Mfalme, kwako wewe unaumia unapoona Muislam anachambua masuala ya Mashariki ya kati? Mbona unaonesha hisia hasi kwa Watanzania wenzio kisa dini? Unataka kumaanisha kwamba vyombo vyote vya habari vinavyomilikiwa na wakristo ni marufuku mkristo kuchambua masuala na vile vinavyomilikiwa na waislam...
Naam, Qur'an ni kitabu cha mwisho katika vitabu walivyopewa Mitume wa Mwenyezi Mungu kwa Mtume wake wa mwisho Muhammad (swala na salaam ziwe juu yake.)
Lakini Qur'an sio updated version ya Biblia. Na fahamu pia hakuna kitabu kinaitwa Biblia kilichoshushwa kwa Mtume yeyote.
Kama unakusudia...
Mkuu Robert,
Ingekufaa zaidi lau ungeleta hoja za kutaka wewe binafsi ujielimishe hasa katika maswala ambayo huna ujuzi nayo. Lakini ulichofanya ni kutoa hukumu kwa yale usio na elimu nayo kwa ku-conclude. Hii ni tofati sana na vile mwanzo nilivyokudhania kama msomi mzuri na mwerevu wa mambo kwa...
Sanyambila,
Lengo pekee la NECTA kubadili utaratibu wa usimamizi wa upimaji na mitihani ya Taifa ni kudhibiti udanganyifu katika mitihani ambao ni pamoja wizi wa mitihani unaopelekea kuvuja kwa mitihani kwa njia ya kuwapatia majibu watahiniwa.
Japokuwa tatizo hili limekuwepo kwenye karibia levo...
Mleta mada angeandika kama ambavyo Shehe Ponda ameandika ingeleta uelewa mzuri.
Bei Elekezi hapo mwanzo umenena vyema kwamba waislam hawahitaji wapumzike siku ya Ijumaa na wanapaswa baada tu ya kutekeleza swala ya Ijumaa watawanyike wakatafute rizki. Ila hakukua na ulazima sana wa kutumia lugha...
Mkuu Aslan kwanza pole kwa mkasa unaogusa sana lakini pia hongera kwa kuwa mtulivu hata baada ya kubainikiwa kuwa mtoto si wako.
Nakupa pongezi kwakuwa tupo katika nyakati ambazo kila uchao visa vya mauaji yanayosababishwa na mapenzi vinagonga vichwa vya habari. Umeonesha uanaume kwa kuwa...
Hao madiwani ndio wanaomchagua na kama hawana imani naye wanaweza kumtoa.
Usisahau kuwa Wakurugenzi wao hawafugamani na chama cha siasa. Sasa ikitokea wewe Mayor let say ni ww chama kingine halafu Mkrugenzi akafungamana na chama fulani ambacho kina madiwani wengi, basi Mayor ni kama vile...
Kama Mayors na Executive Directors kwenye Halmashauri zao wanatekeleza vyema majukumu yao basi ni wazi kuwa nafasi za wakuu wa wilaya hazina kazi. Majukumu ya wakuu wa wilaya yanaweza kuachwa kwa Wenyeviti wa halmashauri/manispaa au Jiji.
Sema shida itakuja kwamba Mayor anaweza kuchaguliwa...
Mayor ni Haed kwa halmashauri za manispaa na jiji. Mkurugenzi ni secretary wake.
Mayor ni political figure akiwawakilisha wananchi waliomchagua, Mkurugenzi ni non political figure (ni think tank wa halmashauri) na ni mteule wa Rais.
Mayor kama mwenyekiti wa baraza la madiwani wana uwezo wa...
Habari ni njema mkuu.
Kwa kawaida sikukuu ya Idi inayoadhimishwa baada ya mfungo wa Ramadhan ina siku mbili za mapumziko yaani Idi mosi na Idi pili.
Kama ujuavyo, sikukuu hizi hazina tarehe maalumu za kalenda ya jua isipokuwa zinafuata mwandamo wa mwezi. Na mwandamo wa mwezi nao una tofauti...
Mfumo unaoupendekeza una faida kwako wewe unayetaka kuuza gari lako ambalo pengine na wewe ulilinunua kutoka hukohuko Japan.
Baada ya kulitumia kwa muda kadhaa sasa unaona wenzio wanaoagiza magari kutoka Japan wasiagize wanunue lakwako. Ili kufanikisha hilo unatamani hata utaratibu wa plate...
Hapo na wewe ulikusudia kuandika nani badala ya nane sio? Kwa hivyo nawe umekosea kama alivyokosea Mr. Q? Halafu ukamwita bichwa maji la Jf kwa kukosea kwake?
Wewe sasa uliyekosea kumkosoa aliyekosea utajiita nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.