Inasikitisha sana kama mtu amejitolea kwenda kuwapigania watanzania wa Igunga,alafu anakuja na swaga kama hizo,kwanza anatakiwa kujitambua yeye mwenyewe alikwenda kufanya nini,maana inaonyesha ajui kilichompeleka Igunga au alifikiri kule ni sehemu ya utalii?ukombozi si lelemama bro,jipange upya...