Recent content by Kasomeko

  1. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Akiwemo rubani inazuia nn kumuua? Tuseme alipewa ndege arudie kitu nyumbani kwa chivayo huku ndege ikiwa na bomu la utegwe kwa muda. Msiba ukirushwa laivu utaona mwili wa chivayo? Wengi tunaenda na biti tu hakuna anae ujua ukweli, we angalia hadi mda huu kuna wanaosema familia nzima imekufa...
  2. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi na tathimini | final submission ya Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili

    Ngoja niwahi siti kwanza halafu ndio nianze kusoma
  3. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania KERO Open University wamefanya suala la Research kuwa kitega uchumi, Supervisor anataka kutumia El Nino kunipressure nimlipe TZS 250,000 ili nimalize chuo

    UDSM hakuna research kwa degree ya kwanza inakuaje hao OPEN wawe na research?? Wizi mtupu!!
  4. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Ado: Serikali ikibaini madini, Wananchi wapewe kipaumbele, Wachimbaji wadogo wasifukuzwe "hii ni nchi yao!”

    Wazee wa kujitekenya na kucheka wenyewe. Kwamba hadi mchakato wa kupata mwekezaji na ulipaji wa fidia za hovyo unakamilka, mbunge na diwani hawajui?? Walishawageuza wananchikama masaveya wao wa madini wakipata yalipo wanakuja na fieldfoce.
  5. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Ziwa Victoria limewahi kukauka maji yote mara tatu

    Kwahiyo "mkodomi" nyie wana bk ndo wamiliki halali wa ziwa victoria?
  6. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    Grace Rweyemamu ana wazifa gani hapo plz!!
  7. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    MANYANZA MAHAKAMA SPECIAL THREAD. hii itapendeza zaidi kwanini usianzishe hiyo kitu sio tu kwa ajiri ya kesi ya TAL bali kwa kesi mbali mbali na mambo ya kisheria. Binafsi nimetokea kupenda sana ishu za mahakaman na sheria kiujumla. Nikipandishwa kizmban hata kesho naiman sitakua mbumbumbu wa...
  8. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Starehe za matajiri ni zipi?

    Huu utaratibu wa nchi gani asee!!!
  9. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Njaa Huleta Uadui wa Familia. Ukiona Group la WhatsApp la Familia Lina Vita Kila Siku, Angalia Kwanza Hali ya Uchumi

    Masikini wakagoma hata kuchangia huu uzi!!!!!
  10. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Starehe za matajiri ni zipi?

    Ngono kichakani na ngono kwenye yacht unaona vinaendana mkuu??
  11. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Hata mke wa EN hakwenda kutoa pole hii imekaaje au haruhusiw wazee wa protocol mtupe mwongozo hapa
  12. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Tuanze nawewe kwanza, tuchukulie wewe ndie mjomba wake na nchimbi na watu wanasema mjomba ni mama.... Sasa tuambie mjomba ake nchimbi apo kijijini ulipo ungefanyaje ili sisi tujue mpwa wako hajulikani alipo?
  13. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Kitovu cha mtoto mchanga wa kiume kikiangukia kwenye uume wake, mtoto huyo hatoweza kuzaa au kumpa mwanamke mimba?

    Ni uongo uliolenga kuwaongezea wazazi umakini wa kutunza kitovu. Huku kwetu wanasema kikiangukia uume hutaamsha dude😁😁 Kikiangukia kwenye k binti anakua jamvi la wageni na wenyeji au cha woteee
Back
Top Bottom