W
Kwa mshangao huo ndicho kinacho tafsiriwa Na watu tulio wengi Na tafsiri hii inafanana Na ile ya Simbachawene kuwa mtu kuwa Na vyeti viwili haitakiwi jambo ambalo Kama hili ambayo Ni ngumu maana Ni groble issue
Mature age entry qualification ninvyofahamu Mimi imewafikisha wengi Tuu Chuo kikuu. Lakini PIA mfumo WA nacte WA NTA'S Umetufikisha wengi Na bado unaingiza wengi ( Iwe Na pass tano yaani D Na credit mbili yaani C) mfumo huu Ni Wao serikali wameuweka Na watu hadi sasa wanasoma phd njia waliyo...
Jipu ofisi ya Manispaa ya Ilala kitengo cha ardhi dirisha la malipo ya leseni za makazi na kuongeza muda.
Mfano leseni yako inasoma kodi yako ni Tsh. 12,700/= pale utaambiwa ni Tsh. 32,700/= pia kodi ya kuongeza muda wa leseni ni Tsh.5,000/= ila Wao wanatuchaji tsh. 10,000/= ilhali risiti...
Kweli mkuu wanasiasa wanawapa kiburi wanajamii katika masuala ya kitaaluma. Na Jamii ikiendekeza hayo tunapotea maana wao wanafuata sheria ila wao wanabomoa Ili wajenge kwa kuonekana kwenye macho ya jamii
Kuna mtu mmoja ndani ya nchi za afrika masharuki aliyewahi kuwa kiongozi WA nchi alisema watanzania Ni marehemu wanaotembea ila Si mkumbuki kwa hali hii Kama inajirudia vile. Nashindwa kuelewa wanatuchukuliaje sisi watanzania?
PIA malipo ya leseni za makazi. Kodi ya kila mwaka imeandikwa mle kwenye leseni ila ukifika pale kulipia utasikia kodi imepanda sasa utalipia tsh. 22 kwa kila meta square lakini hapo hapo kiwango wanacho kutajia ulipie Ni tofauti Na maelezo Yao. PIA kulenew leseni ilikuwa Tsh. 5,000/= lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.