Wanajamvi wenzangu ningependa kufahamu dawa za kuku wa kienyeji za miti shamba zinazokinga na kutibu magonjwa yafuatayo na namna ya kuziandaa.
1. Mdondo
2. Kuharisha(kinyesi cha kijani)
3. Kideli
Mkuu inaonekana uko vizuri sana katika hili. Mi nna tatzo hili la mawacliano kukata nikiwa ninasex. Lakin pia huwa nnashinshindwa kumaintain erection yangu kabsa. Kuna kipindi huwa nashindwa kusex kabsa maana huwa nikifikisha tu pale kwa vagina kitu kinalala, na nikifanikiwa kuingiza naweza...
Kwa tatzo hilo dawa yake kubwa ni matunda jamii ya Ndizi, Mapapai au Maembe. Pia mwambie atumie Maji kwa wingi. Mi lishawai kunipata tatzo hilo hvyo nilivyokutajia ndivyo vilivyoniponyesha.
Kwan fedha inatumia Zanzibar ni IPI??? Unataka ilipwe nn wakati sarafu waliochangia kuiunda na wao ndo wanayotumi.
Hiv unajua kazi za benki kuu ni zipi..?? Kama unazifahamu ebu nitajie ni kazi gani kati ya kazi za bank kuu ambazo Zanzibar wanazifanya mpaka waitaji kulipwa.???
Hz dawa mkuu zinatibu kabsa au ni za muda fulani tu... Maana kuna nyingine za namna hyo madokta waliniambia ukifikisha wa miaka 40 ndo inakuwa basi tena..kama vile ELECTRAL.
Hizi side effects/long run effects zake zip..??
Mtu yeyote yule anaetumia maoni ya mtu fulani, iwe mtu aliyetoa maoni hayo ni mwanadini au kiongozi fulani. Akayahusishanisha maoni hayo na hotuba ya raisi kwa madai ya kwamba kiongozi huyo ama mwanadini huyo ndiye anaehitaji serikali 2, yapaswa kumuogopa kama ukoma. Mtu kama FAIZAFOXY ambae...
Nadhani kinachowasumbua waliowengi ni uwelewa mdogo wa muungano wa mwaka 1964. Labda tukumbushane hv, muungano wa mwaka 1964 ulikuwa wa serikali mbili, nchi moja. Na muungano ulikuwa na maeneo yake, kwa maneno mengine kila serikali kunabaadhi ya mambo ilikuwa inajiamulia pacpo kuingiliwa na...
Baada ya hotuba ya raisi wetu hasa katka suala la muungano nilipata jibu ni kwanin uongozi wake umekuwa wa kuyumbayumba sana. Kikubwa ni uwezo mdogo wa kuyaona mambo na kuyatafutia suluhisho alionao. Katka maisha huwezi kujifunza kutoka kwa walioshindwa hata cku moja..na kama utajifunza kutoka...
Kabla ya kujibu hilo swali lako LA mapato... Ebu kwanza nijuze katka hili. Je unafahamu muungano wa Zanzibar na Tanganyika wa mwaka 1964 ulikuwa wa namna gan??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.