Recent content by Kashia

  1. K

    JamiiForums Tanzania LATRA: Stendi binafsi za mabasi ya mkoani siyo halali lakini zina vibali

    Kisheria stand Iko chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri au Jiji.Wakurugenzi huwa wanaainisha kituo cha mabasi/stand na kuijulisha mamlaka ya usafiri Ardhini(LATRA).Kwa kifupi LATRA hausiki moja kwa moja na stand hizo.Hata hao wenye stand binafsi hawaombi vibali LATRA wanaomba kwa wakurugenzi wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    I think ana akili kuliko wewe.Hebu weka vyeti vyako hapa nikuthibitishie jinsi ambayo wewe mwenye rundo la vyeti anakuzidi parefu na vyeti vyako.Always watu waloshindwa huangaika na maisha ya watu kuliko kufanya wanayopaswa kufanya.Mimi sijui kama ana vyeti lakini nakushauri fight for your life...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kimarangu ni hatari

    It might be true but Generalization is not recommended.NI USHAURI TU BRO
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kunasababu kijana mwenye degree kuoa binti mwenye degree

    Marriage life au mapenzi kwa ujumla wake yana mambo mengi,unaweza kuoa asiyesoma ili umpelekeshe upendavyo lakini utakosa challenge na ushauri pale elimu inapohitajika,unaweza pia kuoa mwenye elimu ukidhani utapata heshima lakini akawa hana ufundi wa mambo yetu kitaandan ukaishia kufuata wale...
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    R.I.P Mvungi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli uume usiotahiriwa ni 'mtamu' zaidi panapo '6 kwa 6'?

    Kuna jamaa zangu toka kanda flan kwa vyovyote watasapoti kuwa govi ni dili coz wao hawakatwagi,kubali usikubali govi si issue maze,wadada mpo huku tuambieni ukwel govi na cone kipi kitamu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Akiduu always anaumia.

    Wadau naomba mniambie hili tatizo la mwanamke kuumia wakati wa kuduu linasababishwa na nini. Yeye haoni raha hata siku moja.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hawezi " ku sex " mpaka ashikilie na mkono

    Awaone wataalamu wamsaidie anakosa raha za dunia.
Back
Top Bottom