Recent content by kashemeire

  1. K

    ni mda gani unaofaa kukaa na mpenzi wako kabla hamjaoana?

    naomba kupata ushauri hasa kwa walioana,,, je nni mda gani muafaka unaweza kukaa na mpenzi wako kabla ya kuoaana? mf miaka 2? 5? miezi6? au? naomba ushauri,,,
  2. K

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    oh poor lady,,,, umefanya kosa sana,, kama kweli unampenda mumeo,,, ebu mwambie kabisa,,, kwani siku akigundua,, unalo!,, alafu hata hiyo appointment uliyofanya ulikosea kinoma,, what if mmeo angekuja kazini na asikukute? na si mda wa kutoka? ungemweleza niin? open mind will let u free
  3. K

    Kumpenda usiemjua

    inatia huruma sana,,,,,, kumpenda usiyemjua kwani unaongozwa na hisia,, jipe moyo,,, go straight approach the person,,, in a way ya kumchunguza zaidi,,, unaweza kuta si ndivyo udhaniavyo,,,, best wishes
  4. K

    Tusihukumu kabila jamani! Kila mmoja na msalaba wake

    na mimi nakubaliana na wewe kabisa,,,,,, tabia si ukabila,,, ni mtu binafsi,,, so hakuna haja ya kulaumu kabla,,,
Back
Top Bottom