Kuna mikopo inayotangazwa sana mtandaoni kuwa inatolewa fasta na Mohamed Dewji baada ya kuomba mkopo kupitia mtandaoni.
Unatakiwa kutanguliza karibu asilimia kumi ya thamani ya mkopo unaotaka kama dhamana.
Kwa waliowahi kushiriki aina hii ya mkopo naomba kufahamishwa je ni kweli mkopo wa aina...
Mambo yalishabadirika kitambo, Roman Catholic siku hizi wanakubali talaka.
Wana mahakama zao na wanasheria wao,kesi zanasikilizwa na hukumu inatolewa.
Nimeshawahi kuhudhuria ndoa takatifu ya jamaa yangu aliyetalikiana na mwenzake katika ndoa ya kwanza.
Baada ya mmoja wao kudai talaka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.