Recent content by KASHEBO

  1. KASHEBO

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Sasa ugomvi jamani[emoji707]
  2. KASHEBO

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Kama unafanya kazi zidisha bidii upandishe kipato alafu utaona hadi utasahau kuolewa na mtu akitaka kukwambia ndoa utakataa hadi atakubembeleza kwa gharama kubwa ambayo hatoweza kukuchezea na wakati huo utaona mwenye nia njema ambaye tayari amesha wailiza wazazi na viongozi wake wa kanisa sio...
  3. KASHEBO

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Ngoja ni kwambie kitu wewe inawezekana umekaa tu eti unasubiria kuolewa. Ni kweli mwanamke huoelewa lakini tendo hili automatic jaribu kujifanya hujui kama wewe ni mwanamke wa kuolewa alafu jifanyie yako maana sijasikia ukitaja kazi zako. Nakuhakikishia ukiamua kufanya kazi zako kama biashara au...
  4. KASHEBO

    Mwendelezo

    Nitajitahidi sana kama hilo ni shida
  5. KASHEBO

    Mwendelezo

    Picha ya nini? Nan?
  6. KASHEBO

    Mwendelezo

    Thank you
  7. KASHEBO

    Mwendelezo

    Ndio imeisha
  8. KASHEBO

    Mwendelezo

    Pesa kama za kula zipo na kwa maisha ya kitanzania ukipata chakula pa kulala na mavazi vya uhakika si inatosha?
  9. KASHEBO

    Mwendelezo

    Ndio sasa ndo najiuliza cha kufanya
  10. KASHEBO

    Mwendelezo

    Mkosi ninao na si bure
  11. KASHEBO

    Tetesi: Hatimaye serikali yalipa allowance kwa walimu

    Muone mwalimu mkuu wa shule yenye jina la kata yako
  12. KASHEBO

    Tetesi: Hatimaye serikali yalipa allowance kwa walimu

    Watimizi ubinadamu kama waamba ngoma
  13. KASHEBO

    Tetesi: Hatimaye serikali yalipa allowance kwa walimu

    Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000 Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya shule maana ni za mwalimu mkuu na si mtu fulani ila cheo. Hongereni wenye vyeo
Back
Top Bottom