Kariako kilikua ni kituo cha kupakilia watumwa ambapo askari wa kikoloni walifanyia pia biashara ya watumwa na kukiita kituo hicho Carrier Corps...sisi tuka simplfy Kariakoo
Sipendagi kuwadiscuss watu stupid kwenye ishu za Tanzania yangu,anatafuta bwana nje huyo hamshituki tu!..filamu gani zakuonyeshana mapaja ukimwambia acheze kama house gal hataki...filamu Nigeria bongo copy & pest that's all.
CCM nacho Chama Jamani?Imetudhurumu Maisha Yetu Sana,Huu Ndio Mwisho Wao Wakitaka Ushindi Basi Wamshushe Yesu Aje Agombee,
Wezi Sana,Hata Nyerere Alisema Wananchi Wasipopata Maisha Mazuri Ndani Ya CCM Basi Watayatafuta Nje Ya CCM...Walipuuza Maneno Ya Baba Wa Taifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.