Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka:
1. SIMBA VS PAMBA
2. YANGA VS GEITA
3. AZAM VS POLISI
4.COASTAl VS KAGERA
NUSU FAINALI:
Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS GEITA
Mshindi: AZAM VS POLISI anacheza mshindi: COASTAl VS KAGERA
Uwezakano ni mkubwa wa SIMBA na...
Badilisheni uongozi wa nchi ..ondoeni chama tawala ndio njia rahisi ya kugawana keki hii...mkuu sasa hivi utakuwa Mkurungenzi wa Jiji fulani hivi..Yaani hakuna kitu kinaniuma kama kuona eti Baba kiongozi wa nchi anastaafu arafu mwanae anapewa nchi na mbaya zaidi kichwani .....aiseee no comment...
Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffih.
Tunasubiri kuona maamuzi...
Tuinasubiri ,uamuzi dhidi ya Haji Manara kutokana na matamshi aliyoyatoa kabla ya mechi ya ASEC na Simba...natumai yeye atafungiwa milele manake nikisema maisha naona kama haitoshi....
Tumekusikia jana ukitoa maelekezo ya kutosha Baraza la michezo jinsi Wizara yako mnavyotaka isimamie mpira wa miguu “as if” Baraza la Michezo kazi yake ni kusimamia mpira wa miguu tu na huku ukijisahau kuwa wewe sio Waziri wa mpira wa miguu peke yake. Okay tuliacahe hilo.
Tumesikia maoni ya...
Kichwa cha habari chahusika.
TANESCO toeni ratiba ya kata washa kata washa ifahamike kuliko jambo mnalotuanyia kwa sasa.
Hizi hasara za kutuunguzia vyombo vyetu sijui kama mtazibeba tukiamua kuwaburuza mahakamani. Siku hizi haieleweki lini mtu unakuwa na umeme. Halafu watu tunashindwa kupanga...
Kama inavyofahamika kuwa SImba Jumapili wanakipiga na Asec Mimosas ya Code vore na tayari walishatangaza viingilio vya mechi hiyo ambapo kiingilio cha chini kabisa kilikuwa ni shilingi 5,000. Jana Mwenyekiti wa Heshima wa Club hiyo akizungumza na wachezaji alipowatembelea kambini kuwatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.