Tatizo yanga muda mwingi waliiutumia kufatilia mambo ya manara na mo mwisho ht timu yao hawakujliandaa.kushituka 3 nyavuni.walalamikie tff anaipendelea simba na simba ht kagame cup haijashiriki.
Kwa dunia tuliopo mi nnaona staili ya kuendesha mpira inatakiwa timu iwe ya mwenye pesa tu ndo awe mwenye sauti bila hivyo tutaendelea kutamani timu za nchi zingine tu.
Huu uswahili uswahili tunaoufanya hapa bongo ndio umetufanya mpk Leo vilabu vyetu vikongwe simba na yanga vimekosa ht uwanja km timu zingine tunazoona mafanikio km mazembe n.k tumeendeleza uswahili uswahili na majungu tupu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.