Recent content by kasagama

  1. kasagama

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kujaa gesi(acid) kooni

    Ndio mkuu hasa wakati wa baridi
  2. kasagama

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kujaa gesi(acid) kooni

    Hapana mkuu
  3. kasagama

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kujaa gesi(acid) kooni

    Habarin wanajamii mm nasumbuliwa na kitu kama acid kooni unakuwa unahisi kama kitu kimekukwama Nishaenda hospitalin kama mara 6 wanashia kunipa dawa tu, kuna muda walishauri nipime madonda ya tumbo wakasema ninayo nikatumia dawa za hospitalin na asali nikaenda kupima nikaambiwa sina japo tatizo...
  4. kasagama

  5. kasagama

    JamiiForums Tanzania Mashine za kusaga ya umeme

    Habarin wana forum mi ni mkazi wa kigoma wilaya ya kasulu mjini kwa anayefahamu gharama ya mashine ya kusaga kwa kipindi hiki ipoje na kuhusu faida pamoja na hasara, na gharama za kuvuta umeme
  6. kasagama

    JamiiForums Tanzania Ni heri kubariki ndoa kuliko kufunga harusi

    Una matatizo ww
  7. kasagama

    JamiiForums Tanzania Kila nikimwambia tukapime afya anajizungusha tu, nahisi ameathirika na VVU

    We uoni God alikuwa upande wangu
  8. kasagama

    JamiiForums Tanzania Kila nikimwambia tukapime afya anajizungusha tu, nahisi ameathirika na VVU

    Baada ya watu wa kijijin kwao kusema alipewa ngoma na jamaa mmoja aliyezaa naye
  9. kasagama

    JamiiForums Tanzania Kila nikimwambia tukapime afya anajizungusha tu, nahisi ameathirika na VVU

    Huoni nimenusulika kwa bao moja
Back
Top Bottom