Nadhan nao wataandikishwa kwenye daftar la kupga kula ili wapate nafas ya kukipgia kula ccm wabongo wanasema silence campainiiii, jiulze miaka yote walkua wap? Kuna siri kubwaaa
Habari wana JF.
Kuna usemi usemao "mgeni njoo mwenyeji apone" lakini kuna baadhi ya wageni sio wote ukiwakalibisha home inakua ni kero mpaka unatamani siku za kuondoka zifike asepe zake.
Kuna baadhi ya wageni tunaowakaribsha majumbani kwetu au gheto kwa sisi vijana kusema kweli ni wavivu alafu...
Kuna baadhi ya watu bhana wana mijitabia ya kushangaza sana, na hapa nataka nizungumzie tabia za wat hasa tunapokua kwenye vyombo vyet vya usafir yaan daladala au mabasi yaendao mikoan.
Unakuta mtu anachukua sim anaanza mpgia mtu mara oh nipo njian nafuata gar yang bandar,mara oh naenda...
Juz kwenye usail wa afsa ustaw wa jamii wat walcomplain kua kuna wat wenye vsim vyao walkua wana google na wanapata majb sa imekuwaje leo wana jf hiyo nafas haikuwepo au kulkua na usmamz mkal?
Na wale wa kada ya police waliofukuzwa wakiwa mafnzon mbona hatujaskia hatua zilizochkuliwa? yaan wat wenye sifa na vgezo na vyet vyao vizur wanaachwa sabab ya undugwalisation yaan hii nchi yet jaman kwishnei aise
Mi sion sabab ya kuendelea kutmia huu usafr wa mel hii coz imechoka mpka inatia aib vtanda vbov mpaka kungun, mende,chawa vyoo vchaf wat wanashndwa kpanda mabas et mel bei rahs wakt tofaut ya naul n kama 6000 nyie wahaya nyie tutawazka na mikung yen hiyo ya ndz
Mwakyembe aliambiwa hiyo meli ishachoka kasema nzma sa wasubl tena yalyotokea 1996 na hii itakua zaid coz mpaka kuna siku iliwaka moto lkn ndo kawaida ya nchi yet mpaka tatzo litokee ndo wanaanza kuleta njia mbadala au ndo wanasubl kutoa kafala ya uchagz 2015 ndo maana hawatak kuizuia hiyo mel...
Hata m ni muhanga wa ugonjwa huu nshatumia dawa nying kama Natragen lakn sion dall yoyote ya kupona na inauzwa bei ghar kwel lakn nmeamn hawa jamaa wanakula hela za watu bure sa nmeambiwa niende Kairuki Hosptal et wana dawa nzuri lakin nahs yatakua yale2 sa naomba ambae anafaham dawa nzuri ya...
Mbona hata postgraduate wana masomo ya kfundshia coz wanasoma masomo mawli ya kfundshia usiwakatishe tamaa vjana ajira sio mpaka uajiliwe serikaln kuna shule nying za binafs kila kukicha znatafuta walim
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.