Habari kwamba wasanii maarufu wa Bongo wamemfanyia 'semnd-off' JK na kumualika pia mgombea urais wa CCM, JP Magufuli, inaamsha hisia za huzuni kubwa kwangu na pia kwa wengine wenye mtazamo mpana.
Kwa tathimini ya chini kabisa, juu ya maandalizi ya 'send-off' ile, ni lazima wasanii hao walitumia...