People are serious may'be you are not serious let me tell u something. Ukiwa nje ya ndoa utataman uingie ndani ya ndoa bila kujua yaliyopo.
Kiukwel ukiwa shule unasoma uku ukiwa na malengo yako lakin kama mjuavyo shule na ajira vitu viwili tofauti. Me nkiwa shule nlikua napenda kuja kusoma PSPA...
Rehma na amani ziwe nanyi.
ndugu zangu naombeni dodoso kuhusiana na kozi ya geography and environmental studies. Unaweza kufanya kazi wapi. soko lake la ajira. uzuri wake na mapungufu yake
Shukrani...:::
Kuna watu kaka wanaongea bila vivid example af pia wanapenda kuropoka na ktk jamii ya waerevu waropofu hawadumu.
swal zuri sana kama alipata form 4 dvs 0 advance aliendaje au kuna watu wakitoka form wanaenda chuo kupata degree.........?
Yan kuna watu wehu sana humu Jf mtu anauliza kwa lengo la kutaka kujua linatoka JINGA linajichetua kujibu MAJIBU YA KUNYA kwani lazima ucomment ka unahis post hujaipenda why dont u stay en se'how othr thy cn help...!!!
Tatizo kuna watu humu washamba ata elimu ya vidudu haijawakomboa
Kwa uelewa wang wa geographia mtu kua mweusi haisababishwi na single factor like barid. Ziko baadh ya factor like humidity (unyev nyev ktka hewa) mfan mzuri watu wa kilimanjaro kuna barid lakin pia humidty n kubwa katka hewa ivyo haiwaathiri sana kama watu wa kusini ambapo kuna baridi sana pia...
Ila kwel watu weng walikimbilia udsm udom na mzumbe ambvyo compttn ni kubwa kwangu me kwngu nlijiekea NIT. UDOM. UDSM . MIPANGO NA MZUMBE so nltarget kote kote na nimepata so nasubir tu nijue wamenipangia wapi
Hapana bob nliweka code vizur nakumbuka had tar 30 ya agost nlilog in nkakuta mambo fresh ka nlvopanga bt baada ya hapo kuja kuangalia ndo nakta ayo madudu ata sielew ofcoz
Rehma na amani ziwe juu yenu.
Guys nahitaji msaada wenu nimemaliza form six 2014 nimeapply TCU bt first selection nliomba logistics and transport management (NIT) but unfortunately nime'login nakukuta ile first selection ni procurement and logistics management(NIT) yaani sielewi hata imekuaje...
Dah wadau me nliomba iyo course ya logistics and transport management bt dakika za mwisho sielew nin kimetokea kwnye account yang ya TCU nimekuta the first selectn ni procurement and logistics management instead of logstics and transport management. So nimeshindwa kubadili tena mana tayar...
Hebu nijuze kwanini unataka ukasome masters ya uchumi...?
Je wewe ni muajiriwa unataka ukaongeze ujuzi...?
Au umemaliza degree mtaani pagumu na ajira hakuna...?
Nifahamishe tafadhari...!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.