Recent content by Karikari

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania's House Speaker, Job Ndugai's treatment in India sets the world record as the most expensive EVER for a single medical procedure!

    CAG Fanya kazi yako usiogope maana wananchi tuko upande wako
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nakusudia kurejea darasani kufundisha

    Amekuta vyuo 10 bora sasa viko 50 hovyo Amekuta sekondari chache bora sasa kuna maboma ya kukusanyia watoto wa masikini walipakodi kila kata kwa miaka minne wakisubiri Div.5 Kwa mjinga kila kinachoongezeka hapa Tz ni mafanikio ya ccm.Haya twende na akili zao Ongezeko la bei,ongezeko la...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nakusudia kurejea darasani kufundisha

    Waacheni wakaendelee kuiba wali Alishawahi kusema alikamatwa akiiba Wali
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Cdm inatisha sana siku haipiti bila kuitaja
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Asilimia kubwa ya waandishi wa Habari ni makanjanja

    Naunga mkono hoja
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Asilimia kubwa ya waandishi wa Habari ni makanjanja

    Chadema ipi,hii inayoekekea Ikulu?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee ninayeweza kumpa kura yangu kutoka CCM ni Jaji Warioba

    Changia kwa kutoa hoja sio kuchafua mazingira kama huyu jamaa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee ninayeweza kumpa kura yangu kutoka CCM ni Jaji Warioba

    Wanajf, Kama ikitokea kuiunga mkono CCM kwenye mgombea Urais ikiwa sitaridhika na mgombea wa Upinzani ni Mzee Jaji Warioba. Mzee Warioba ndio mtu pekee aliyebaki CCM mwenye sifa ya kuwa Rais wa JMT na wala sio hao wanafiki waliobakia.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Dr. Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto

    Mbona Jk hakwenda kumzika huyu mjumbe wa Nec?
  10. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Kuhudhuria misiba sio kipimo cha uzalendo. Kwani Wasira na Mkono si ndio walikuwa wanamtumia zzk kkuhujumu cdm? nilidhani mambo yaneisha kumbe bado hujuma zinaendelea? Kazi kwenu mnaoota bdoto za kuiua cdm kwa kupitia zzk. Pole sana zitto ila waambie akina Wasira waache kukumaliza kisiasa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete achemka bungeni jioni leo

    Akajifunzie kwa huyu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    vipi kuhusu uraia wa Kinana,Mansor,Bashe,nk?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    ccm ni mzigo kwa Watanzania
  14. K

    JamiiForums Tanzania Asante A-G Werema kwa kuturejeshea Tanganyika yetu

    mpango mzima ni
Back
Top Bottom