Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

Status
Not open for further replies.

Hansard

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
838
225
Mbunge wa Nkasi Mheshimiwa Kesi amesema imetosha sasa kubeba mzigo wa Wazanzibar ambao kwa miaka 20 hawachangii chochote zaidi ya Tanzania bara kuchangia kila kitu harafu wao hawatoi chochote!

Anasema wanataka tugawane mambo yote sawa kwa gharama za kodi ya watu wa bara,anasema wabunge wazanzibar wanapata mfuko sawa wa jimbo wakati majimbo yao madogo ukipiga flimbi wananchi wote wanasikia jimbo zima!

Anasema Watanzania tumechoka kuwatunza wazanzibar waende zao na umeme hawalipi deni lakini wao ndio vinara wa kulalamika!
 
Kiyoya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,595
2,000
Mara nyingi nimekuwa nikimsikiliza Mbunge huyu kwa namna anavoongea ukweli na kwa ujasiri

-M23 ni ya wanyarwanda na wanapora Congo
-Zanzibar wanapora Kodi za bara kwa maendeleo yao
-Kumbe Wenje ni mnyarwanda!
 
TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,306
2,000
Mheshimiwa Kessi Leo amechafuwa hali ya hewa ndani ya bunge baada ya kudai kwamba Wazanzibar hawana haki ya kudai uwakilishi sawa na Tanzania Bara kwenye uteuzi wa Mabalozi wa nje ya nchi kwakuwa hawachangii kwenye Muungano.Mheshimiwa Kessi aliendelea kuwashambulia Wazanzibar kwamba amechoka kusikia kelele zao kwamba wananyanyaswa na kuwataka wachague moja badala ya kuendelea kulalamika
 
Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,700
2,000
Kutokana na mjadala wa bajeti ya wizara ya mambo ya nje uliokuwa unaendelea , Mbunge wa Nkasi Ndugu Ali Kessy ameporomosha matusi mazito kwa wazanzibar kuwa ni watu wa hovyo na ambao kila mara wanalialia tu kuwa wanabaguliwa , wanadai mambo mengi kuliko uwezo wao na wakati hawachangii hata senti kwenye Muungano na hivyo kama wanaona wanaonewa waende kwenye nchi yao sio kukaa kwetu.......

Alienda mbali zaidi kusema kuwa Zanzibar Majimbo ya uchaguzi ni madogo kiasi kwamba ukipigania filimbi wananchi wote wanakusanyika ila bado wanapewa fedha za mfuko wa Jimbo jambo ambalo sio haki , na pia hata umeme hawalipi na maji pia .

jambo hili lilimfanya mbunge wa CCM ndugu Chombo , kuomba muongozo na Kumtaka naibu Spika a mwambie Kessy kamwe asikanyage Zanzibar , hii ilikuwa baada ya kumuita mwendawazimu , na alisema ni bahati mbaya kwa CCM kuwa na mbunge mwendawazimu kama huyu ......

Ndugai muda muda wote alikuwa akicheka , sijui nini maana yake .."...
 
Mzanzibar Halisi

JF-Expert Member
May 8, 2014
284
195
Ahsante mheshimiwa Kessy kwa kutudhalilisha bungeni leo.Ila tambueni sisi huku Zanzibar hatuna haja na muungano hata uvunjike leo itakuwa raha sana. Tatizo hawa CCM ndio wanataka muungano ila kwa sasa tufike mwisho. Kilichobakia sasa ni vitendo sio maneno tena. Watanganyika wanaoishi Zanzibar sasa chamoto watakiona hadi mrudi kwenu kwa nguvu.
Zanzibar kwanza hata hizo Serikali 3 hatuzitaki tena.
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,236
2,000
Sipo kabisaa!!!!!!!!!!!!!!!! Faizafoxy kishanuka tena huku. Njooooooooooo!!!! Yewomiiiiiiii!!!!!
 
Mzanzibar Halisi

JF-Expert Member
May 8, 2014
284
195
Makanisa yamechomwa ,mapadri wameuliwa hii yote kuwa hatutaki ukiristo Zanzibar wala muungano ila wenyewe mmeona sisi ni mzigo basi ni vizuri kila mtu apite njia yake.Zanzibar hatutaki muungano wala serikali 3 kwa sasa.
 
WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,291
2,000
Kutokana na mjadala wa bajeti ya wizara ya mambo ya nje uliokuwa unaendelea , Mbunge wa Nkasi Ndugu Ali Kessy ameporomosha matusi mazito kwa wazanzibar kuwa ni watu wa hovyo na ambao kila mara wanalialia tu kuwa wanabaguliwa , wanadai mambo mengi kuliko uwezo wao na wakati hawachangii hata senti kwenye Muungano na hivyo kama wanaona wanaonewa waende kwenye nchi yao sio kukaa kwetu.......

Alienda mbali zaidi kusema kuwa Zanzibar Majimbo ya uchaguzi ni madogo kiasi kwamba ukipigania filimbi wananchi wote wanakusanyika ila bado wanapewa fedha za mfuko wa Jimbo jambo ambalo sio haki , na pia hata umeme hawalipi na maji pia .

jambo hili lilimfanya mbunge wa CCM ndugu Chombo , kuomba muongozo na Kumtaka naibu Spika a mwambie Kessy kamwe asikanyage Zanzibar , hii ilikuwa baada ya kumuita mwendawazimu , na alisema ni bahati mbaya kwa CCM kuwa na mbunge mwendawazimu kama huyu ......

Ndugai muda muda wote alikuwa akicheka , sijui nini maana yake .."...

Hansard ndo aliyeandika ukweli....ila wewe umeandika uchochezi,bora Zanzibar waende na tubaki na Tanganyiaka yetu.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom