Recent content by KARANJA 007

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake wengi hujivunia sana makalio yao?

    Vale hata wewe nae umejaza kama vile imepitiliza,yaani we acha tu.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

    Hapana mamii,hatumiwi ili wanatumiana au vipi?
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Lakini ni taaamuuuu sana mkuu,hata mimi nilikuwa sijui,ila baada ya kula samadi mpaka leo huo ndio ugonjwa mwangu,naanzia kula kaima halafu namalizia mkainda.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Hahaaaa Ngabu,utanivunja mbavu bro,yaani umeamua kumchomesha mahindi,mwenzio anagonga hodi halafu anajibiwa na kasuku,hayuuuuuuuupoooooooo katoooooooooka,hahaaaaaaa,yaani mtoto katoka Tandika sijui Tandale na joto loote la jiji,kafika akijua utafungua mlango umpe hata juice anywe? daah.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Muendee pm basi au vipi?,Ngabu ana nyota kali.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Ngabu the great of all,wewe ni kama mchawi lakini sio,ni digital ndio inakupaisha,so achana na makenge bluu,watoto hawaishi kukulilia,umekuwa kama zimwi linakula watoto wa jukwaa na haliwamalizi,ubarikiwe mkuu,mimi ningepata bahati hiyo nafikiri sasa hivi ningekuwa nimeoa wanawake wanne.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Mrembo Ceecy,karibu jukwaani,usikonde sisi wazee tunakukaribisha na ujiachie kama upo saloon.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Mkuu,kajilengesha tayari,so wewe ni kama kusukuma mlevi.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Basi tumia rampant rabbit au vipi?
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Venossa hebu tupe mautaalamu,hivi kweli chupi huwa zinawasha nanihii?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Mtoto maana yake manzi.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Zote lakini au vipi?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Mkuu,Nyani Ngabu ni maji marefu,we acha tu,kila ,mrembo anampapatikia,chezea American boy?
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Daah,yaani unanipandisha midadi kabisaaa,eti kuna kitu unafanya huku na huku?
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

    Mkuu Ficus,hivi unatumia dawa gani ya mswaki?,maana meno yako ni meupe sana.
Back
Top Bottom