Recent content by Kapwimpwi

  1. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Nimeridhika na majibu yako!,tena umefanya jambo la msingi sana!,maana mm nimewasikia baadhi ya wadau wa "green part" wakidai eti ww ulikuwa umefeli chuo kkuu! Tena ndio mada wanayojivunia ili wakuchafulie cv yako!,majibu yako ndio aibu yao!"BIG UP":yo:
  2. K

    Anatafutwa mwalimu wa Computer Mafinga

    Cku nyingine unatakiwa kufunguka vyema ili nac wadau tukuelewe!,unaposema mwl wa computer!,unamaanisha nn?,je ni mwalimu wake computer? au mwl mwenye ujuzi wa computer au mwl atakaye fundisha somo la computer au mwl anayefundisha computer ?!,yani nashindwa kukuelewa kijana!
  3. K

    Tanroad morogoro

    Hayo ni mambo ya michakato!,kwa hiyo bado wanachakatua!
  4. K

    Tanroad-tanga

    Kuwa mvumilivu!,bado!
  5. K

    Wanawake wenye sura hii ni wapole lakini kwa kudengua ndio wenyewe....!

    Hbr zenu wana jf!,nami leo ktk hili nachangia kama ifuatavyo: Swala la kudengua kwa wanawake ni lakawaida!,hata awe na sura yoyote ile!,kudengua kwao ni dli!,na kama wakwako hadengui basi atakuwa na matatizo!
Back
Top Bottom