Israel inasherehekea miaka 70 tangu kuanzishwa mwaka 1948. Mgogoro huu ni wa muda mrefu zaidi duniani na “I cant see light at the end of the tunnel!” Kiuhalisia to choose sides it’s totally wrong ikiwezekana fungua Ubalozi kule Gaza why not ! Ni marufuku rafiki yako kukuchagulia marafiki. Let us...
Kwa kweli Watanzania ni watu wapole au ni makondoo kabisa. Kuna Mwalimu akistaafu Mwaka 2017 mwanzoni hajapewa mafao yake ( lump sum) kutoka PSPF na analipwa ile pension ya kila mwezi! Ni wa kumwonea huruma haijulikani atalipwa mafao yake lini. Kwa hiyo wafanyakazi ikibidi wakatae kujiunga na...
Swali langu kwa ujinga wangu! Fedha zilizotumika kujenga huo ukuta Budget ilipitishwa na nani? Upembuzi Yakinifu( Feasibility Study ) ilifanyika lini ? Business case to justify huo Ujenzi iko wapi? ESIA ilifanyika lini pamoja na risks za kujenga huo ukuta? Kuna mambo na maswali mengi ya...
Zamani kwenye awamu zilizopita TAMISEMI ilikuwa chini ya Waziri Mkuu na hakuna kilichofanyika Sawa Sawa. Awamu ya Tano TAMISEMI ipo Ofisi ya Rais kwa hiyo kuharibika Mambo ni ushahidi kwamba Ofisi ya Rais ina matatizo makubwa na ya kutisha Maamuzi yako kwa Rais Waziri Mkuu is job less pesa...
NGOO!
Swali unaongeza fedha kwenye bili ya nani? Kila Mji una Mamlaka ya Maji. Sasa huko ambako miradi inajengwa ama hakuna maji au hayatoshi? Gharama za miradi ya maji huwa ni kubwa na mara nyingi huwa ni “sunken cost” ina maana it has to be financed from the Central Government or ikiwa ya...
Hawa wabunge wote wanaishi kwenye sayari! Tangu Marehemu Kibona aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha kwenye awamu ya pili ya Mzee Ruksa alipoamua fedha za Road Toll ziwekwe kwenye tozo ya mafuta nafikiri ni mwaka 1990 au 1991 Serikali za CCM kwa kuwa wavivu wa kufikiria wamekuwa wakiongeza hiyo tozo...
Mbona mnashangaa PPP ya ajabu kati ya Jambazi na Serikali ya CCM anapewa ardhi Dege Beach bure kama shamba analipima na kugwa plots mara anakuwa strategic investor na NSSF wao watoe fedha Azimio atoe ardhi kwenye PPP ardhi is a sunken cost huwezi kuipa thamani kubwa kwa vile umiliki ni 66 years...
Yale ni matumizi mabaya ya madaraka ya Ramadhani Dau alyekuwa CEO wa NSSF na mbona tuhuma ziko nyingi za kununua mashamba ya watu mpaka huko Bagamoyo, Kigamboni, Sinza na hata kule chanika lakini Polisi na Takukuru wanashinda kukagua Account za watu Benki na vikesi Uchwara vya matumizi mabaya ya...
Mdau yuko sahihi kwani Jiwe wakati ule waliokuwa wanakwenda Direct Chuo Kikuu ni Vipanga haswa wale wa Engineering. Yeye Form six hakufanya vizuri ikabidi aende kuchukua Diploma ya Ualimu na kuingia Chuo Kikuu through the back door na utaratibu wa Mikopo ulikuwa haujaanza ulianza awamu ya Mkapa...
Kwa maneno na matendo ya Jiwe kweli ni Dikteta ! Rais anatangaza sera mpya ya mikopo na itafuatwa na Loans Authority ? Nakumbuka wakati wa awamu ya tatu kulikuwa na mjadala mkali Bungeni wakati Mbunge machachari wa NCCR Ngawiya alipinga kwa nguvu zote wadhamini kufungwa jela endapo wanufaika wa...
Swali la Kizushi Any Time Cancellation Limited (ATCL) wana ndege ngapi kwa ajili ya hiyo route? Tuanzie hapo? Na kati yenu nani aliwahi kupanda KQ direct flight from Nairobi hadi Bangkok ? Kama una majibu hayo jiulize kwa nini Emirates wanaruka Dar - Dubai- Mumbai those are the economics of...
Usimtetee huyu CJ ni kituko Kwani hata leo nimemwona kupitia ITV mobile akieleza kwa msisitizo kwamba TLS ni mali ya Umma akaenda mbele na kusema ikijifanya wanaharakati au wanasiasa mahakama haitaweza kuipa TLS ushirikiano? This is absurd that such words are being uttered by the CJ. Of course...
Just go back to school hata kama umri wako ni miaka 80 that’s very simple, kwa sababu kwa swali unalouliza you should ask yourself kwanza! Kama hujui unafundishwa ila kama hujui kwamba hujui basi wewe ni “mpumbavu”and no amount of education can change you take it or leave it, tafsiri ya...
Jiwe ana a very small “Intelligence Quotient” (IQ) na hii ni ya kuzaliwa huwezi kuibadilisha! It’s inborn! Sasa Rais kuuliza “Tanganyika Law Society “ kama ni mali ya Umma ni u mbumbumbu wa hali ya juu. It’s a society of registered lawyers ni chama na kimesajiliwa kwa mujibu wa sheria sasa...
Well observed! “Kesi ya nyani hakimu ni ngedere” it’s obvious kutakuwepo na a huge conflict of interest. Bunge kama limekuwa defamed lingepeleka kesi Mahakamani! The courts have the dispensation to deliver justice in an impartial manner. Hutarajii Pascal Mayala Raia wa kawaida kutendewa haki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.