Recent content by kapusi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Airtel Rising Stars - Huko Nigeria

    sio siri nimekua nikitoa machozi ya furaha kwa ajili ya wasichana wetu waliotuletea heshima mana wao ndo washindi. Tz 1 ke 0 matokeo ya mwisho na hii ilikua fainali. Kwa kifupi tumekua hatushindi hapo mwanzo na hii ikapelekea tusishabikie sana timu zetu. To me, the girls have surprised the...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatengwa rasmi na nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC )

    Jamani hata hesabu rahisi ya 1+1 tunashindwa kuikokotoa. Mtanzania na kiongozi yeyote wa kitanzania aweza kuvumilia damu ikimwagwa but not to the extreme. Tumekaa na wakimbizi muda mrefu hata kama tuliwarudisha kwao maumivu ya ukimbizi tunashare. Kama tunahukumiwa na kutengwa kwa ajili ya kutaka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa afanya safari ya Marekani kimya kimya!.

    mmeshambulia mno tofauti na ethics za watanzania kutomuua mjumbe. Wengi tulikua hatujui. Mwisho wa siku lugha ambayo huwezi kuitumia mbele ya baba yako na mama yako usiitumie kwenye mitandao ya kijamii.
  4. K

Back
Top Bottom