Hizi sms hata mimi nimezipata. Wazo pia la kuwashtaki tcrs nimekuwa nalo kwa sababu hawa watu ni waizi na chunguza ile sms ya ccm inakula hela yako yaani unailipia wewe bila kujua. Kwa nini nikiweka voucher kwenye simu yangu ndio sms za kijina zinaingia kama utitiri. Jamani tuungane dhidi ya...
Kuna mambo yanawachanganya watu wengi.
1. Je? Ni ugomvi kati ya waislam na wakisto?
2. Ni ugomvi kati ya waarabu na wazungu
3. Ni ukomvi wa kutaka au kukataa kutawala au kutawaliwa
4. Ni ugomvi wa raslimali?
Haya ni maswali huwa najiuliza mara ninaposikia vita dhidi ya ugaidi.
Kwa nini ukitaja...
Leo asubuhi clouds wamepiga wimbo wa jakaya kikwete kwa ajili ya birthday yake. Lakini sehemu kubwa ya wimbo ni kampeni badala ya birthday. Nilikuwa nawaamini gerald na babra lakini leo nimewaona hovyo!!! Acheni unafki!!
Hivi jamii forums huwa wanafuta posts zingine? Nilipost sababu kumi kwa nini kikwete amelaaniwa na kwa mshangao wangu imefutwa haipo!!!! Nini maana ya kutoa mawazo kwa uhuru au na wao wamenunuliwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.