Sijui lini sisi waafrika tutaamka kutoka katika hili. Maana usingizi huu ni mzito na tumefunikwa blanketi zito na nje kuna baridi kali …..hizi imani hazina hata miaka 500 Afrika….je mababu zetu ilikwaje? Waliiishije? Na Leo hata majina yetu ya asili yamepotea…..na denn waliotutesaaa, kutuuua...
Hii dunia ipo strange sana….naona hizi nazo zipo logical sana….ila haifikirishi kujiuliza hizi pande mbili ni suala la nadharia na njia ya kugawa wajinga na watawala wa hii dunia!?
Umeangalia ngumi ama unandika andika kwa kuwa unauwezo wa kuandika. Suala la uzito si jipya… fuatilia game za Tyson utajua. Huyo jamaa yako kawa 100% outplayed… kachapwaaa kama Abdallah…since 5th round alionekana nje ya mchezo kabisa…fitness level yake ilikuwa chini kala clear makonde… suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.