Recent content by Kapugi_yo

  1. Kapugi_yo

    Wenzangu mkiambiwa hamna utu na wake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha yaendelee?

    Unatulia alafu unamwacha amalinze kuongea. Akimaliza unaingia mfukoni unampa chochote kitu kama Vile buku, khaki, buku ten au laki. Inategemea na Hali yako. Alafu unapanda kitandani kulala
  2. Kapugi_yo

    PreGE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

    Mhuni katika Moja mbili.
  3. Kapugi_yo

    Mrejesho: Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hahahaaha. Serikali ina mkono mrefu hadi inafikia watu kwenye ndoto. Hatari sanaaa. 😂😂😂
  4. Kapugi_yo

    Ulevi je ni Tabia ya kurithi

    Huna nia ya kuoa wewe.
  5. Kapugi_yo

    Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Kupungukiwa imani ni tatizo linaletwa na usasa! Mama yako anakuelekeza njia iliyo njema. Sali sana uondokane na hako kashetani ka-usasa kalikokukamata.
Back
Top Bottom