Recent content by kapongoliso

  1. kapongoliso

    JamiiForums Tetesi: Inadaiwa Wakili Nassoro Katuga, sasa hivi anaishi kama digidigi

    Anayemjua katuga, atusaidie alisoma shule Gani, chuo Gani, cohort Gani ya law school. Kuna lawyer (Nassoro Juma Katuga) yuko North Carolina ni lawyer wa siku nyingi
  2. kapongoliso

    JamiiForums Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026 yaahirishwa hadi Julai 6, 2026

    Kila siku wanajinadi mahakama isishinikizwe kisiasa au kwa namna nyingine yeyote. Kinyume chake mahakama zetu ni za hovyo zisizoweza kujisimamia zenyewe. In tanzania the King Louis XIV saying "I am the State" or "L'État, c'est moi" is operating now.
  3. kapongoliso

    JamiiForums Kama Joshua Maponga ana ushawishi na akili Akashugulike na Matatizo ya Nchi yake Zimbabwe

    Ccm is desperate, it has no leadership any more, no vision,
  4. kapongoliso

    JamiiForums Wakili Maduhu: Bado kuna mashauri Mahakamani ya waliokamatwa kwa tuhuma za uhaini Oktoba 29

    Mfumo wetu wa utawala ni wa hovyo sana. Mahalsma zinaelekezwa na watu wajinga wajinga TU nini Cha kufanya. Tz tumepatikana ukweli. Ukijoji ijinga huo watakuteka na kukuua.
  5. kapongoliso

    JamiiForums RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka

    RRRR Slogans zimekuwa falsafa ghafla
  6. kapongoliso

    JamiiForums Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

    Dogo kiboko inaelekea hata kwao hayuko vizuri Na wazazi
  7. kapongoliso

    JamiiForums Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Kwa kweli inasikitisha, badala ya kutengeneza mfumo wetu wa kujitegemea tunajipeleka kwa waarabu. Haeajawahi kuwa watu wazuri kwetu tangu enzi za biashara ya utumwa. Self reliance ya JKNyerere Iko wapi sasa?
  8. kapongoliso

    JamiiForums Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa miradi mahsusi ya umeme. Vijiji vyote Bara kufikiwa umeme mwishoni mwa 2023

    Hii ni ishara ya kukosa cha kufanya. Yaani wamekusanyana ikulu kutiliana Saini mikataba ya umeme hewa. Hii miradi ya umeme ni upigaji, ufisadi na uchawa tu. Nyie hamkuwahi kutudanganya eti vijiji vyote vimebarikiwa na umeme wa REA. Kule wilayani Mbinga karibu vijiji vyote havijafikiwa na...
  9. kapongoliso

    JamiiForums Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Hii nchi idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi kubwa sana. Kweli vyombo well trained kwa Kodi zetu wameshindwa kukamata waliompiga risasi Lisu? Instead narrative ya dereva kumpiga Lissu inakuwa celebrated? Narrative ya kushindwa kupeleleza sababu Lisu hayupo nchini inakuwa ndio Hoka? Hebu tuwe...
  10. kapongoliso

    JamiiForums Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Ni kweli wanaodhani dereva alimpiga risasi Lisu ni wajinga tena kwa kiwango cha lami. Dereva angetaka kumwua Lisu asingesubiri aende pale Area D na ampige risasi pale. Katika akili za kawaida maana yeye anaye muda mwingi anamwendesha angeweza ku-fake accident, etc.
  11. kapongoliso

    JamiiForums Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

    Shida tuliyo nayo watanzania ni kusadiki source of knowledge ni authority, Kwa vile rais ana mapolisi na mavyombo mengine ya mabavu anayoyatumia kuhakikisha utopolo wake uonekane ni absolute knowledge. Kama ni mjinga utaendelea na ujinga wako mpaka utakapojitambua kuwa unapaswa kujielimisha ili...
  12. kapongoliso

    JamiiForums Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    We are too naive. Wameambiwa kama the investigation is beyond their ability, they should ask for assistance for well qualified firms like Scotland yard, CIA, Mosac etc. The story should be cut short
  13. kapongoliso

    JamiiForums Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

    Kesi ya mchongo, majaji wa mchongo, mashaidi wa mchongo, magaidi wa mchongo, mashabiki wa mchongo, judgement ya mchongo
  14. kapongoliso

    JamiiForums Chato: Rais Samia kuongoza kumbukizi mwaka mmoja kifo cha Magufuli

    Unafiki ndio adui mkubwa wa Taifa la Tanzania, hususan wanasiasa ambao wamewaambukiza wanataaluma sasa
Back
Top Bottom