Anayedhani mtoa hoja kaitoa muda usio mwafaka ndiye aliyekosea. Ametoa hoja muda mwafaka baada ya kumshuhudia mbeba maono akihamaki kwa kudodoswa kidogo tu nje ya fikra na matamanio yake! Na alisahau kuwa wahariri na wanahabari ni wadau muhimu wa kuwashirikisha katika kuufikia umma.
Political rhetorics!!!
Wakati wengine Tanzania ndio nyumbani na hakuna nchi mbadala ya kukimbilia, wengine wapo nchini kama 'waseja'...wake na watoto wao wapo mafichoni ughaibuni.....
And that's democracy per se! different people, different lines of thoughts. but they must co-exist in harmony despite their differences in their world outlook!
Hujawaelewa wahariri.
Wahariri walimpa TL fursa adhimu ya kufafanua zaidi msingi wa hoja za Chadema za 'No reform, No elections", na walidodosa kubainisha jinsi msimamo huo ulivyo vigumu kutekelezeka katika mazingira na utamaduni wa kitanzania...
Bahati mbaya TL alipofikishwa kwenye...
Heshimu mawazo yake...Heshimu uhuru wake wa kutoa mawazo yake, hata kama yanakinzana na mapenzi na mtazamo wako. Ndio demokrasia yenyewe! Unachokipenda wewe siyo lazima wengine wakipende!
Huenda Viongozi wa Chadema wanakutana ili kutafakari kwa pamoja ujumbe wa Rais Samia kwa umma, na kuangalia cha 'Kumshauri' ...na si kumjibu, kwani 'hawakuulizwa'.
Usipotoke kama babu Magoma, anayepotoka kuwa Yanga ni mali yake.
Yanga ni ya mali ya wanachama ambao wametapakaa Tanzania yote, ikiwemo Unguja na Pemba.
Klabu ina dhima na sababu ya kuwajibika kuwapelekea burdan wanachama wake kwa kadri fursa inavyopatikana.
Katika kipindi hiki Rais anahitaji kuzingatia utawala wa haki, unaozingatia sheria, tamaduni, miiko na uhuru wa raia wanaotambua kuwa unapoishia uhuru wake ndipo uhuru wa mwenzake unapoanzia.
Wakati huu si wakati wa kuchekea 'vikundi vya watu' vinavyopandikizwa kuleta mitafaruku na uvunjifu wa...
hata huko kwao kuna mauaji na unyama mwingi unafanyika. Pia amewataka watambue kuwa uhai wa kila Mtanzania ni muhimu....wakemee na vibaka, watekaji maalbino na watoto, siyo kubagua wanaowataka wao tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.