Recent content by Kapita kapewa.

  1. K

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu Mkuu Asante sana kwa mafundisho Yako. Mimi Nina matatizo sana kiuchumi, nahitaji fedha za kuendesha maisha lakini kupata kazi ni changqmoto kubwa nyingine. Mara kadhaa naumia sana nafsini, naona bwana ameniacha, mungu wangu niliyempa tumaini langu la dhati , nikamiini atanitoa mavimbini...
  2. K

    Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

    Kaka habari , Naona Nina tatizo kwenye meseji nashindwa kufungua na kuzisoma , pia nashukuru kwa kunicheki na ninaomba unipe contact zako au nikupe zangu unicheki 0766 182 020 au 0784 521 700
  3. K

    Naomba Ajira/ kazi ya aina yoyote

    Kaka wala sichagui kama unaweza nisaidie labda apo juu ni makosa ya kiuandishi tu
  4. K

    Naomba Ajira/ kazi ya aina yoyote

    Wakuu habari za Leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni kijana wa kiume , ninapatakana Dar es salaam. Naomba kazi, kibarua cha aina yoyote cha mkataba, cha day Yani kazi yoyote Ile, kwa malipo yoyote Yale ya halali natanguliza shukurani wakuu.
Back
Top Bottom