Recent content by Kapirimposhi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

    Kimwili watakuwepo lakini kimawazo watakuwa wako nje kabisa....!!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mzoefu wa kususia, Lowassa, Sumaye na Kingunge nasikia hoi

    Nadhani aliyechaguliwa ni Magufuli na si CCM....!!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Elungata mkuu duhh...!!!! Kweli hapa kazi tu...!!!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Matola bwana....!!!! Sasa tena huyo hawara wa Josephine wa nini tena leo....!!!! Sawa tunampongeza Magufuli kwa hatua aliyoifikia....!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Huku tunajitambua bana. Hatutaki mchezo katika haki yetu....!!!!! Huko bara kaeni na kukubalikubali kwenu...!!! Asa sijui Sheria inafatwa hapa au ndo ubabe tu basi....!!!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Mmmmhhhhhh....!!!! Unahamu ya kuchinjwa live....!!!! Nenda kaishi huko...!!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Duh...!!!! JFni full shangwe jamani....!!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Umeludia...??? Ama umerudia....!!!???
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Piga kisu...!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM Wanaendelea Kupiga Kampeni Hadi Leo Siku ya Uchaguzi!. Huu ni Uthibitisho!.

    Jamani subirini matokeo....!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Unguja - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Huku kaskazini Unguja hali ni shwari sana. Kila mtu anafuata utaratibu kama ulivyopangwa. Propaganda zipo zinazotangaza yasiyotokea kabisa....!!!! Mungu na azidi kutulinda....!!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lindi - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kata mtu hapo...!!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA kuzikwa rasmi Oktoba 25

    Jaa...!!! Ndo unasema nini sasa....!!!!! Malizia basi hakuna kinachoeleweka mkuu..!!!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

    Mpe bwana anachokihitaji...!!!! Wewe si umekikuta tu lakini...!!!! Cha nini hicho sasa...!!! Toa ulichonacho naye akupatie alichonacho....!!!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mungu mjalie afya ndugu yetu tunamhitaji sana - hapa kazi tu!

    Wewe dada una courage ya ajabu sana....!!! Aisee...!!!!
Back
Top Bottom