Recent content by Kapirigi

  1. K

    Baada ya Obama kuondoka turudi kwenye issue ya Pinda

    Pinda angemwambia Obama mbinu zake chafu dhidi ya wapinzani wa serikari ya ccm. Labda angesifiwa.
  2. K

    Angalia Tofauti Hii KUBWA Kati Ya Marekani Na Tanzania...!

    Kwetu viongozi hawana utaifa. Kiongozi anatafuta kufurahisha kundi la watu, si kulinda maslahi ya taifa na kutafuta hali njema kwa raia wote. Wao wapo kula na kunywa tu.
  3. K

    Mzee Farijala: Hata waliogomea Bajeti juzi walikula keki na Obama

    Huyu mzee ni wa magamba itakuwa.
  4. K

    Obama Live at The State House of Tanzania

    Kikwete kiinglish mh balaa, kila kitu huandikiwa.
  5. K

    FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

    Kwenye orodha ya wasiopaswa kumpokea Obama ongeza nchimbi.
  6. K

    Updates on mandela's health....you can follow it from here......

    Soon the world will loose a very potential figure in the sage peer.
  7. K

    Nassari: Lowassa anahusika kunipiga

    Tutasikia mambo ya hatari siku zijazo.
Back
Top Bottom