Simulizi : Kitanzi Cha Mwisho
Sehemu Ya Nne (4)
Kwa kutumia ngazi za nje, Kamanda Amata alimshika mkono Yaumi na kuteremka nae kwa haraka. Alipofika mwishoni tu, ilikuwa ni kitendo bila kuchelewa, Land Cruiser Prado ilikuwa imesimama mbele yake, vyoo vyeusi, kwenye usukani kulikuwa na...