Recent content by kapinga p

  1. K

    JamiiForums Tanzania Loss report sasa kupatikana kwa njia ya mtandao

    Hapo nilimaanisha loss report nataka kujaza form ya usajili kwenye date of birth panagoma kila nikijaza mwenye uelewa anisaidie
  2. K

    JamiiForums Tanzania Loss report sasa kupatikana kwa njia ya mtandao

    Nataka kujaza form ya ross report lakini pale pa tarehe ya kuzaliwa pananigomea shida sijui itakuwa nini au Kama Kuna namna ya kujaza naomba muongozo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    Asanteni Sana kwa ushirikiano nilienda smartcard saiz inafunguka vizur na Yule aliyesema nmedisco Kama hunaga vya kucomment just relax
  4. K

    JamiiForums Tanzania naomba msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha sita

    Perfect vission ya Dr kadege wako poa sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kutopewa hela ya kujikimu

    Hamna madamu kucarry hakukufanyi usipate boom jina lako litatoka tyuu Wala ucjal
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    Hay Asante,,, surname nmepewa smartcard maana hata password ya mwanzo nilkuwa nkifungua inagoma thaty y wakabadlisha,,ok Asante sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    Nko mwaka wa 3 nilienea library wakaniuliza unadaiwa but nkasema hapana na nilifungiwa matokeo Mana niliambiwa nadaiwa lak 650000 ada ya semester nkaverify
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    Hay Asante kijana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    Username c reg no yangu na password ni sirname
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    Najitahd kujaza bt inafail mmmm!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    An nachanganyikiwa kwa kwel
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    Nilifungiwa matokeo nkaverify ada toka hapo kila nkifungua naambiwa failed na Kama nmedisco kwann hawaruhusu nione matokeo yang
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    Okay Asante
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kulogin udsm Aris

    Wakuuu Kama kichwa kinavyojieleza ni kwamba naomba mnisaidie Aris yangu inafail kufunguka kila nkijaza username and password but still haifunguki litakuwa nin tatzo?
Back
Top Bottom