Recent content by kapi85

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais jiridhishe juu ya vyeti vya Makonda na elimu yake

    Kama sio chake jibu ni moja tu atumbuliwe maana hamna namna nyingine na binadamu wote ni sawa sheria ifuate mkondo wake, ila ninachojua raisi yoyote hawezi kumteua mtu kushika wadhifa bila kupata taarifa zake zozote kuhusu elimu na tabia yake kwa ujumla kwa hiyo sina uhakika kama kweli kanunua...
  2. K

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Huyo sio mwanafunzi nasikia ni kijana wa mitaani ambaye amevaa uniform awalaghai watoto wa kike sasa amekutana na hayo yaliyomkuta ...sio mwanafunzi hata ni fataki kijana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi niliyoyaona Ukonga na Moshi, wana UKUTA badilini gia!

    Mi nitaandamana maana ni haki yangu ya kikatiba hamna namna nyingine
Back
Top Bottom