Recent content by kapepa

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kuhusu kijua kushusha na kupandisha window kwenye pc

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika cc Chief-Mkwawa
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia whatsap mbili kwenye simu moja

    achana na disa chukua hii GBWA by 2.12.67 @atnfas_hoak
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuingiza subtittle kwenye videos

    wakuu vipi kuna software ya kuingiza sauti kwa kutumia pc
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Voda unlimited bundle zimeyeyuka!?

    ingia baba
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: WhatsApp imegoma kwenye simu yangu aina ya Tecno

    Tupa tecno siyo simu hio
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Wi-Fi nzuri Morogoro

    je 3g kwa 3g haiwezekan
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Wi-Fi nzuri Morogoro

    Ngoja niwacheki simbanet alaf na je vip hyo conectify ndo vp sijaelewa
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Wi-Fi nzuri Morogoro

    Wadau JF naomba kujua kwa hapa Morogoro wapi naweza kupata wi-fi ya kulipia yenye spidi ya kasi yenye uwezo wa ku-download kama 3GB file kwa dakika 15. Msaada tafadhali
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kuset 3/4g katika sony xperia z4

    teh teh uyo alyekuuzia simu nilimsikua akisema atamkamata boya wake tu ni kwamba alibandua screen protector kwa juu kidogo alaf akabandka hyo logo ya SONY kwa ndani then akagundishia vzur sikujua kama atampata mteja kumbe kuna mtu keshaliwa pole sana kwa kupigwa kiini macho kwani alikuuzia sh ngap
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Flash ya 16 GB haisomi

    sikumbuki vizuri ata mimi nilishawahi kufanya hivyo ikawa haionekan alaf nikawa babonyezabonyeza ikawa inaniletea hio flash ikae katka format gan nikafankiwa kuirudsha but sikumbuk vzur na naogopa isije ikawa niliotea
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mkopo NMB, naweza kuchukua mkopo benk nyingine?

    Mkuu umenikumbusha mwalimu wang wa economics sio kuwa namaanisha na wewe una lengo hilo hapa bali alisema benk zina shida sana ilkuwa kweny ishu za credit creation bank moja inatoa mkopo alaf mkopaji anakula pesa zote then anaenda kukopa kwingne kiasi cha juu kidogo af anakuja kulpa tena na...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa internet hii ya Tigo, nalazimika kubadili line, wadau naombeni muongozo

    gwud m mwenyw nlkua nawaza kununua mpango mzma ila nikawa natafta njia coz nilipo sijui signal za halotel wamezitia kachumbari nadownload hadi 1.6 mb kwa sekunde sema tu kifurush cha unlimited kinaisha hata baada ya dakika 40 after kuunga
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa internet hii ya Tigo, nalazimika kubadili line, wadau naombeni muongozo

    Hivi mkuu ukiunganisha vifurushi halotel kinapga kazi as kifurushi kimoja mrejesho tafadhali
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya IT/Kufundisha

    Job Vacancy at the Centre for ICT 2015
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    mwenye SAMSUNG GALAXY CORE PRIME yenye 4G LTE na anaiuza anipm please
Back
Top Bottom