Nimebahatika kuwa na mke pamoja na watoto wawili, na sisi wote mimi na mke wangu wazazi wetu wapo hapa Dar es salaam nasi twaishi hapa. Chakushangaza kila siku za sikuku mke wangu hupenda kwenda kujumuika chakula na wazazi wake na wakati mwingine hupenda kuchukua watoto na msichana wa kazi...
Hakuna kitu hapo, wangekuwa wanafanya kazi mambo yangenyooka tanzania, tatizo wamekuwa wala rushwa mstari wa mbele,kila mtu anaangalia hela na sio kazi, ni kama ilivyo polisi. hata wakikamata deal leo litaishia kugawana... usalama ulikuwa zamani bwana....ndg yangu ukitaka kujua hilo nenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.