Recent content by kanyelele

  1. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya CCM kwenye Chaguzi za Marudio ni somo tosha: Africa inahitaji maendeleo ili yalete demokrasia na si demokrasia ya kuleta maendeleo

    Nani kakwambia kuwa ajira huletwa na ccm? Ni mjinga tu anayeweza amini hivyo huku , vijana wetu wako hoi mitaani kwa kukosa ajira. Nijuavyo mimi maendeleo ya nchi ni mipango endelevu tena inayotekelezeka. Mh.alipiga marufuku siasa na kusema mpaka 2020 sasa hizo chaguzi za nini tena wakati muda...
  2. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Kwa hoja yako tu, inasadifu wasifu wako kuwa wewe huna hata tone la ualimu Mbaya zaidi hujui sera kodi ya tanzania, hujui sheria za kodi kwa Tanzania. Hapo ndipo ninakumbuka kitabu cha Juma na Roza "Heri mimi sijasema" Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anakanaje kauli yake..vipi kuhusu hii kauli yake bungeni? angalia video....

    Hivi bila Mbowe , watu hawawezi kuchangia mada yoyote? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kanyelele

    JamiiForums Tanzania TBC yaleta usawa katika habari, sasa yaja na kipindi cha CCM kila Ijumaa

    Poor reasoning, poor argumentation, low thinking capacity, failure in critical thinking. As a nation we need to have a national debate over " where are we heading to"
  5. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Ntaipasua CHADEMA vipande vipande wakiendelea kunifuatilia

    Acha mikwala , uwezo wa kuipasua CHADEMA uko wapi?
  6. kanyelele

    JamiiForums Tanzania SHINYANGA: Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Kahama ahamia CCM

    Sihasa,
  7. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla aiagiza TAKUKURU imchunguze Nyalandu, amtuhumu kuipotezea Serikali mabilioni kupitia tozo za hoteli

    MH. KIGWA ARE SERIOUS OR YOU MEANT IT ?
  8. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Arumeru: Mkuu wa Wilaya Mnyeti akiri kuwanunua Madiwani, adai ataendelea

    tunaomba risti ili tujue kama kodi imelipwa, kila biashara lazima iwe makato ya kodi ya serikali,
  9. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Uchimbaji gesi ya Statoil yasema inafikiria kusitisha uwekezaji wake TZ, serikali imeibadilishia gia angani

    I think breeching of the contract is not an offense , but the question is why breeching ?
  10. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Siku tatu baada ya Mwigamba kujivua uongozi ACT Wazalendo ili aweze kuhoji uongozi, yeye na wenzake wajiunga CCM

    Sikuwahi kuwaelewa CDM , sasa picha kama vile iko patamu . Eti ACT- Wazalendo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Siku tatu baada ya Mwigamba kujivua uongozi ACT Wazalendo ili aweze kuhoji uongozi, yeye na wenzake wajiunga CCM

    Njaa haijawai kumuacha mtu salama , so far it was known before
  12. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Doto za mchana zijawahi kuacha mtu salama
  13. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Mamia ya wanachama kuihama CHADEMA ni pigo takatifu hilo

    Doto za mchana zijawahi kuacha mtu salama
  14. kanyelele

    JamiiForums Tanzania Nchemba: Polisi hawajazuia Chadema kufanya Mikutano na kuwapendelea CCM, asema taratibu zifuatwe

    Mwigulu lameck nchemba you are smart man can you call specifically spade as spade,
Back
Top Bottom