Recent content by kanye west

  1. kanye west

    LENOVO inanitesa sana

    Msaada wadau hiyo ni Lenovo Thinkpad X250 ilikua inakaa na chaji kwa muda wa masaa matano ukishaichaji..kuna siku nawasha ikanitokea ujumbe huu na chakushangaza haikai tena na chaji ukichomoa tu kwenye umeme inazima
  2. kanye west

    Mahusiano yasiyo na maana

    Kwanini sasa
  3. kanye west

    Mahusiano yasiyo na maana

    Ahaha haaa ndio bikira
  4. kanye west

    Mahusiano yasiyo na maana

    Mama kuna muda anataka mawasiliano na Baba yake
  5. kanye west

    Mambo 10 Muhimu kila mtumiaji wa kompyuta anapaswa kujua

    Msaada laptop yangu ineniletea ujumbe huo na ghafla haikai chaji kama zamani
  6. kanye west

    Mahusiano yasiyo na maana

    Wakuu kwema humu... . Kila mtu lazima atakua matarajio yake kwenye maisha hususani swala la kuwa na ffamilia..swali langu je unaweza kuoa mwanamke ambaye anamtoto.? Binafsi siwezi kabisa
  7. kanye west

    FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Hii simba ikikutana na Yanga inakufa 6
Back
Top Bottom